Siasa

Mo Dewji ampongeza Dk Tulia urais IPU

MFANYABIASHARA Mohammed Dewji amempongeza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).…

Soma Zaidi »

Rais Samia mpongeza Dk Tulia urais IPU

RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani…

Soma Zaidi »

Dk Tulia Rais mpya Umoja wa Mabunge Duniani

ANGOLA; Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson ameshinda kwa kishindo kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)…

Soma Zaidi »

Chongolo amfunda Makonda

DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amemuagiza Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,…

Soma Zaidi »

Makonda kukutana na wabunge wa CCM

DAR ES SALAAM; KATIBU wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema atakutana na wabunge…

Soma Zaidi »

TCD wazindua Jukwaa la Wanawake

DAR ES SALAAM; Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo kimezindua rasmi Jukwaa la Wanawake na  wadau wa demokrasia nchini kwa…

Soma Zaidi »

Samia: Tanzania, Zambia zisishindane, ziwezeshane

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Zambia zisishindane ila ziwezeshane kibiashara ili kujikomboa kiuchumi. Pia Rais Samia ameunga mkono…

Soma Zaidi »

Samia: Nimekuja Zambia tuimarishe uchumi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amekwenda kufanya ziara nchini Zambia ili nchi hizo ziimarishe uchumi. Alisema hayo wakati akihutubia Bunge…

Soma Zaidi »

Tanzania, Zambia zakubaliana kukuza ushirikiano, uhusiano

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Zambia zimekubaliana kuendelea kudumisha ushirikiano na uhusiano kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania, Austria kuimarisha elimu, utalii

SERIKALI ya Tanzania pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Austria zimekubaliana kuimarisha sekta za elimu ya ufundi pamoja na utalii.…

Soma Zaidi »
Back to top button