Siasa

Jokate – Nimejipanga kushirikiana na viongozi, wanachama

KOROGWE, Tanga: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Jokate Mwegelo amesema ameupokea kwa unyenyekevu mkubwa na…

Soma Zaidi »

NEC yashauriwa kusajili wapiga kura Kidijitali

DAR ES SALAAM: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshauriwa mambo manne ikiwemo kutumia mfumo wa kidijitali kusajili wapiga kura…

Soma Zaidi »

Historia Kuandikwa leo

DAR ES SALAAM: Leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (JNICC) katika Jiji la Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »

Dk Biteko ahimiza usimamizi bora wa Ilani

NAIBU Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Dotto Biteko amewataka viongozi kutoka Chama Cha…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti Chadema ajiunga CCM

GEITA. Bukombe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kata ya Bulega wilayani Bukombe mkoani Geita, Dotto Ngaga ametangaza…

Soma Zaidi »

“Amani inaepusha migogoro”

“TANZANIA inaendelea kujitolea kikamilifu na iko tayari kufanya kazi na familia ya Umoja wa Mataifa katika kudumisha amani na usalama…

Soma Zaidi »

CCM yatoa mwelekeo wa vijana 2030

DAR ES SALAAM: MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM) Rehema Sombi, amesema CCM imeendelea…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Watumishi Halmashauri wakae vijijini

KIGOMA, Uvinza: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kama Rais Samia Suluhu Hassan anafanya ziara na kusikiliza kero za wananchi, haoni…

Soma Zaidi »

Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Busega

DODOMA:Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri…

Soma Zaidi »

Mpango asisitiza amani Umoja wa Mataifa

MAREKANI, New York: Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa…

Soma Zaidi »
Back to top button