Siasa

Serikali yapoteza sh trilioni 15

SERIKALI imepoteza mapato ya sh trilioni 15 kutokana na kesi za kikodi zilizopo katika mahakama zake za Trab na Trat.…

Soma Zaidi »

Sh trilioni 280 zatakatishwa- Mpina

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameichambua taarifa iliyowasilishwa bungeni kuhusu usalama wa kifedha ‘Financial Intellegence Unit’ (FIU) ambayo inaonyesha zaidi…

Soma Zaidi »

Sheria ulinzi taarifa binafsi yakamilika

SERIKALI imekamilisha utungaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 iliyosainiwa Novemba, 2022 na kutangazwa katika Gazeti…

Soma Zaidi »

‘Hakuna mpango kufufua benki ya wakulima Kagera’

NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande amesema kuwa Serikali haina mpango wa kuifufua Benki ya Wakulima Mkoa wa  Kagera na…

Soma Zaidi »

Chongolo ataka majina wasiolipwa fidia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kondoa kumpa orodha ya wananchi ambao…

Soma Zaidi »

Chongolo atoa ahadi Bwawa la Maji Kondoa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Daniel Chongolo amewaahidi wananchi wa Kata ya Itaswi iliyopo Halmashauri ya Kondoa Vijijini kuwabana…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Sudan wahamishiwa Muhimbili

WANAFUNZI 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan, wamehamishiwa Hospitali ya…

Soma Zaidi »

NEC yataka ushiriki wa vyama uchaguzi wa kata

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa kata 14 zinazotaraji kufanya…

Soma Zaidi »

Rekebisheni kasoro – Mavunde

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde, amewataka wataalamu wa ardhi wa jiji la Dodoma kurekebisha kasoro zilijitokeza katika…

Soma Zaidi »

Wabungea EALA waonya kauli za wanasiasa

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika (EALA) kutoka Tanzania, wamewataka  wanasiasa na wananchi kutokutumia kauli zinazotishia umoja wa kitaifa…

Soma Zaidi »
Back to top button