Siasa

Tanzania yafungua rasmi ubalozi Indonesia

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua rasmi ubalozi wake jijini Jakarta nchini Indonesia. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi…

Soma Zaidi »

Halmashauri kupewa magari 2 ya wagonjwa

SERIKALI ipo katika mpango wa kuhakikisha inasambaza magari mawili ya wagonjwa katika kila halmashauri  nchini kwa lengo la kuboresha huduma…

Soma Zaidi »

Chongolo: Kuuza ardhi ni kujitia umasikini

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo ametoa wito kwa wananchi wa Bahi na wanaozunguka miundombinu ya umwagiliaji…

Soma Zaidi »

Jokate Rais wa Kanda ya Afrika

MKUU wa Wilaya ya Korogwe, Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Rais wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Jukwaa la Viongozi Wanawake…

Soma Zaidi »

Serikali yapoteza sh trilioni 15

SERIKALI imepoteza mapato ya sh trilioni 15 kutokana na kesi za kikodi zilizopo katika mahakama zake za Trab na Trat.…

Soma Zaidi »

Sh trilioni 280 zatakatishwa- Mpina

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameichambua taarifa iliyowasilishwa bungeni kuhusu usalama wa kifedha ‘Financial Intellegence Unit’ (FIU) ambayo inaonyesha zaidi…

Soma Zaidi »

Sheria ulinzi taarifa binafsi yakamilika

SERIKALI imekamilisha utungaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 iliyosainiwa Novemba, 2022 na kutangazwa katika Gazeti…

Soma Zaidi »

‘Hakuna mpango kufufua benki ya wakulima Kagera’

NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande amesema kuwa Serikali haina mpango wa kuifufua Benki ya Wakulima Mkoa wa  Kagera na…

Soma Zaidi »

Chongolo ataka majina wasiolipwa fidia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kondoa kumpa orodha ya wananchi ambao…

Soma Zaidi »

Chongolo atoa ahadi Bwawa la Maji Kondoa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Daniel Chongolo amewaahidi wananchi wa Kata ya Itaswi iliyopo Halmashauri ya Kondoa Vijijini kuwabana…

Soma Zaidi »
Back to top button