Siasa

Misamaha yaichanganya Hospitali ya Mloganzila

ONGEZEKO la misamaha katika Hospitali ya Mloganzila mkoani Dar es Salaam limetajwa kusababisha mapato kupotea na hivyo hospitali kutofanya vizuri…

Soma Zaidi »

Wabunge wahadharisha Twiga kununua hisa Tanga Cement

WABUNGE wameihadharisha serikali kuhusu nia ya Kiwanda cha Saruji cha Twiga kutaka kununua hisa za Kampuni ya Saruji ya Tanga.…

Soma Zaidi »

Wabunge: Serikali iongeze kiwango cha pensheni

SERIKALI imeshauriwa kuanzisha mpango wa kuwapa wazee wote pensheni ikiwa ni hatua ya kuthamini mchango wao kwa taifa. Ushauri huo…

Soma Zaidi »

Wabunge wacharuka suala la ushoga

WABUNGE wamecharuka kuhusu suala la ushoga nchini na kutaka serikali ichukue hatua za haraka kukabiliana nalo kama ambavyo inakabiliana na…

Soma Zaidi »

Kishimba ataka Wizara ya matumizi na kero

MBUNGE wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ametoa ombi la serikali kuongeza Wizara ya Matumizi na Kero na CAG na…

Soma Zaidi »

‘Kuna maeneo 24 ya SEZ’

NAIBU Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amesema kwa sasa Programu ya Maeneo Maalum ya Kiuchumi (SEZ), Maeneo Maalum…

Soma Zaidi »

Serikali kuangalia uwezekano wa internet maeneo ya umma

SERIKALI imesema itaendelea kuangalia uwezekano wa kufunga mtandao wa ‘Wifi ‘kwa ajili ya huduma ya ‘Internet’ katika maeneo ya umma…

Soma Zaidi »

Samia aridhia Mulamula kugombea ukatibu Madola

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia Balozi Liberata Mulamula kugombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola akiamini kuwa kutokana…

Soma Zaidi »

UVCCM watakiwa kuwa wabunifu miradi ya kimkakati

MKUU wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Sakina Mohamed amewataka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani humo…

Soma Zaidi »

Waombaji wasio na sifa ya ukimbizi kurudishwa

SERIKALI ya Tanzania imesema haitawapa hifadhi ya ukimbizi, waomba hifadhi kutoka nje ya nchi ambao hawana sifa ya ukimbizi kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button