Siasa

Hotuba ya Rais Samia inatosha kumvua chui ngozi ya kondoo

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimamia ukweli…

Soma Zaidi »

Rais Dk Samia ataka haki, demokrasia kuimarishwa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu amemwagiza Katibu Mkuu na timu yake kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Rais Dk Samia kufumua Serikali

RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amekusudia kufanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi wa Serikali ili kuachana na viongozi…

Soma Zaidi »

Dk Kikwete aishauri CCM namna ya kuondoa uchimbi

“Simuoni Mwana CCM 2025 atakayechukua fomu kukupinga. Si mila yetu lakini ni seme ukweli, Hapa Tanzania kunamwanasiasa maarufu kumshinda Rais…

Soma Zaidi »

JICA yajivunia ushirikiano na Tanzania

MIAKA 60 ya ushirikiano baina ya Serikali na Tanzania na Japan kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA,)…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Serikali itaendelea kutekeleza miradi yote

SERIKALI imeeleza kuwa itaendelea kuwajibika katika kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati na maeneo yaliayoainishwa katika ilani ya Chama Cha Mapinduzi…

Soma Zaidi »

CCM ‘ni Dk Samia’

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM wamemchugua Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kura 1,914 kati ya 1915,…

Soma Zaidi »

CCM yaongeza viti Wajumbe Halmashauri Kuu

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suluhu amesema ili kupanua wigo, halmashauri kuu ya…

Soma Zaidi »

Mambo yameanza Mkutano Mkuu CCM

MKUTANO Mkuu wa 10 wa Chama cha Mapinduzi (CCM), umeanza asubuhi hii mkoani Dodoma. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo,…

Soma Zaidi »

NEC yawarejesha wagombea watatu udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewarejesha wagombea watatu wa udiwani waliokuwa wameenguliwa kwa sababu mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi…

Soma Zaidi »
Back to top button