Siasa

Kumekucha maandalizi mkutano CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu, leo amekagua maandalizi ya Mkutano Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti CCM alia kuchafuliwa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joas Muganyizi Zachwa amelia kuchafuliwa kwa kuhusishwa kutukana madiwani. Akizungumza na HabariLEO Zachwa amesema…

Soma Zaidi »

Kamati Kuu CCM yakutana Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa wa Tanzania,   Dk Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu…

Soma Zaidi »

Tanzania yashiriki mkakati kutokomeza magonjwa sugu

TANZANIA inashiriki kikao kazi cha Mfuko wa Dunia wa Kupambana na Ukimwi,  Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund). Kikao kilichoanza…

Soma Zaidi »

Kishindo CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampuni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Amani visiwani Zanzibar utakaofanyika Desemba 17,…

Soma Zaidi »

CCM yamlilia Rais wa zamani wa China

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni taarifa za kifo cha Rais wa zamani wa China Jiang Zemin…

Soma Zaidi »

CCM Dar wataka umoja, makundi sasa basi

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu amesema hataki makundi, rushwa wala kukatana kwenye Mkoa wa Dar…

Soma Zaidi »

Heko Rais Samia, mcheza kwao hutunzwa

IKIWA imesalia wiki moja  kabla ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jamii ya wanazuoni inaona umuhimu wa kumtunuku Udaktari…

Soma Zaidi »

DC Korogwe aiomba Tamisemi kuingilia kati suala la wakurugenzi

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amemuomba Waziri wa Tamisemi, Angela Kairuki kuingilia kati hujuma inayofanywa na wakurugenzi wa…

Soma Zaidi »

Migogoro ya ardhi, Rais Samia akemea wanasiasa

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya  wanasiasa  kuchochea migogoro ya ardhi kwa mtaji wa kisiasa na kuwataka…

Soma Zaidi »
Back to top button