Dini

RC Shinyanga asifu huduma taasisi za dini

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amesema serikali inatambua mchango wa taasisi za dini katika kutoa huduma za kijamii…

Soma Zaidi »

Gambo asifu usaidizi wa nabii kwa jamii

MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema utajiri wa Nabii Mchungaji Geor Davie unasaidia Jamii wakiwemo Vijana, Wanawake…

Soma Zaidi »

Watakiwa kushirikisha jamii zote bila ubaguzi

WAUMINI wa dini ya kiislaam mkoani Katavi, wametakiwa kushirikisha jamii zote bila kubagua dini wala kabila pale wanapokua na jambo…

Soma Zaidi »

Wasisitizwa kulea watoto misingi ya dini

Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa, amewataka wazazi na walezi kuendelea kuwalea watoto katika misingi ya dini, Ili kutengeneza…

Soma Zaidi »

Samia mgeni rasmi Baraza la Iddi El-Fitri

BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Iddi.…

Soma Zaidi »

Madrasa zinazokiuka maadili kufungwa

SHEHE wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omar amesema watazifungia madrasa zote ambazo zitaonekana zikivunja maadili ya dini ya…

Soma Zaidi »

Papa ateua Askofu Mkuu Tabora

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amemteua Askofu Mkuu Protase Rugambwa kuwa Askofu Mkuu Mrithi wa Jimbo Kuu la…

Soma Zaidi »

Wanaotaka kulipiwa mahari wafikia 1,000

IMEELEZWA kuwa hadi sasa watu zaidi ya 1,000 wameonesha nia ya kutaka kuoa kwa kulipiwa mahari na Taasisi ya Kiislamu…

Soma Zaidi »

Mufti amteua Ngeruko kuwa Naibu Kadhi Mkuu

MUFTI na Shehe Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ally amemteua Shehe Ally Khamisi Ngeruko kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka Waislamu wafundishwe maana ya Kuran

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi ametoa wito kwa taasisi zinazotoa mafundisho ya Kurani zilenge pia kusomesha tafsiri yake kwani…

Soma Zaidi »
Back to top button