Dini

Sheikh Mkoa wa Dodoma ampa tano Mavunde

WAUMINI na viongozi wa dini wa Kiislamu wakiongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajabu Shaban, wamemshukuru Mbunge…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini wanaojihusisha na siasa waonywa

VIONGOZI wa dini wamekemea vikali tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kusimama katika majukwaa ya kisiasa kunadi vyama vya…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa pole kifo cha Baasaleh

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa waumini wa dini ya Kiislamu, kufuatia kifo cha mwanazuoni Sheikh Ali Baasaleh “Nimepokea…

Soma Zaidi »

‘Watoto wa kiume hali ni mbaya wakumbukwe’

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk Stanley Hotay, amesema katika jamii sasa mtoto wa kiume amesahauliwa, huku…

Soma Zaidi »

Rais Samia ampongeza Rugambwa kuwa Kardinali

RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Protase Rugambwa kwa kuteuliwa kuwa Kardinali. Katika…

Soma Zaidi »

Kibaha kujengwa Bakwata

WILAYA ya Kibaha iko mbioni kujengewa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) baada ya mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini, Silvestry…

Soma Zaidi »

IDDEF wakabidhi ng’ombe, mbuzi Sikukuu Eid al-Adha

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amekabidhiwa jumla ya ngombe 500 na mbuzi 1000 na Jumuiya ya IDDEF ya…

Soma Zaidi »

Mahujaji waanza Hija Saudi Arabia

IBADA ya Hija ya kila mwaka imeanza huku umati wa Waislamu waliovalia mavazi meupe wakizunguka Kaaba, jengo lenye kitovu cha…

Soma Zaidi »

Bakwata yajenga zahanati 120

MUFTI wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ali ametimiza miaka minane ya kuongoza Waislamu huku akijivunia maendeleo aliyofanikisha yakiwemo ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Waumini waomba kituo cha yatima kisiuzwe

WAUMINI wa Msikiti wa Ijumaa wameiomba Serikali iwasaidie kuzuia uuzaji wa kituo cha kulea watoto yatima cha Islamic Yatima Foundation…

Soma Zaidi »
Back to top button