Dini

Kanisa lakemea usaliti

VIONGOZI wa dini wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), wamewataka Wakristo na Watanzania kwa ujumla kuacha usaliti na matendo ya…

Soma Zaidi »

Mwamposa:Mila na desturi kukabili mmomonyoko wa maadili

KIONGOZI wa kanisa la Inuka Uangaze, Boniface Mwamposa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa kila mwananchi azingatie mila…

Soma Zaidi »

‘Viongozi wa dini unganisheni Watanzania’

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema ni jukumu la viongozi wa dini kuwaunganisha Watanzania, kudumisha amani,…

Soma Zaidi »

Mwimbaji injili kushiriki Pasaka

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini Christopher Mwagila, amethibitisha kushiriki kwenye tamasha la Pasaka Aprili 9, mwaka huu Leaders Club…

Soma Zaidi »

Samia ataka waislamu kuliombea taifa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka waumini wa kiislamu kuendelea kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kupitia…

Soma Zaidi »

Bakwata Katavi waandamana kupinga ukatili wa kijinsia

BARAZA Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Katavi leo machi 22,2023 wamefanya maandamano ya amani lengo likiwa ni kulaani…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini wasifu uhuru wa kuabudu

JUMUIYA ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini  imeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuruhusu uhuru wa kuabudu na kuifanya nchi ya amani…

Soma Zaidi »

Hakuna kiingilio Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka linanatarajiwa kufanyika viwanja vya Leaders Club Aprili 9,2023 jijini Dar es Salaam na hakutakuwa na kiingilio. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Kinana afungua msikiti Lushoto

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameongoza  Waislamu wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kufungua msikiti wa…

Soma Zaidi »

Kanisa Katoliki Geita lasitisha huduma siku 20

OFISI ya Askofu Jimbo Katoliki la Geita imeazimia kusitisha huduma zote za kiibada na kisakramenti katika Kanisa Kuu la Kiaskofu…

Soma Zaidi »
Back to top button