Kanda

Ujerumani yapiga jeki vyuo vya ufundi Tanzania

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, ameishukuru Ujerumani kwa kuahidi kuendelea kuisaidia Tanzania kutekeleza miradi yake ya maendeleo…

Soma Zaidi »

Nape: Tanzania nafasi 6 bei nafuu bando Afrika

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameendelea kufafanua kuhusu bei ya data za simu na kubainisha…

Soma Zaidi »

Bidhaa za Tanzania kuingia Uingereza bila tozo

TANZANIA ni moja kati ya nchi zinazoendelea itakayonufaika na Mpango wa Biashara wa nchi Zinazoendelea wa Uingereza (DCTC) unaotarajiwa kuanza…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Tusiikwamishe serikali sensa ya watu na makazi

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wasiikwamishe serikali katika kazi ya sensa ya watu na makazi…

Soma Zaidi »

Mrema afariki dunia akiwa na miaka 77

MWANASIASA Mkongwe na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Bw. Augustino Lyatonga Mrema amefariki dunia leo Agosti 21 akiwa na umri…

Soma Zaidi »

Waziri Ndaki ataka halmashauri kutenga maeneo ya wafugaji

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amezitaka halmashauri na mamlaka za serikali za mikoa kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutenga maeneo ya wafugaji

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amezitaka halmashauri na mamlaka za serikali za mikoa kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara wa ndizi Murongo waahidiwa neema

MKUU wa mkoa Kagera, Albert Chalamila, amewahakikishia wafanyabiashara wa ndizi katika soko la Murongo kuwa,  serikali inawaandalia mazingira mazuri ya…

Soma Zaidi »

RC Chalamila awasha moto wanaohujumu kahawa

MKUU wa Mkoa wa Kagera Alberth Chalamila  amesema atakula sahani moja na watumishi wanaoshirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu kwa kupokea…

Soma Zaidi »

Nape atoa ufafanuzi data za simu

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (pichani) amebainisha kuwa serikali chini ya uongozi wa Rais Samia…

Soma Zaidi »
Back to top button