Kanda

Samia azuia vibali 125 kulinda Bonde la Rufiji

BODI ya Maji ya Bonde la Mto Rufiji (RBWB) imezuia vibali 125 vya shughuli katika Bonde la Rufiji kufuatia agizo…

Soma Zaidi »

DC Nyamagana: Tanesco endeleeni kupanda miti

SHIRIKA la Umeme nchini (TANESCO) Mkoa wa Mwanza limeshauriwa kuwa na mkakati endelevu wa zoezi la upandaji miti. Ushauri huo…

Soma Zaidi »

Chadema yaacha kuwahoji akina Mdee

MAWAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , wamedai hawana  nia  ya kuwahoji maswali ya dodoso Halima Mdee, Ester…

Soma Zaidi »

Mchengerwa aridhia uteuzi wa Kamishna TAWA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa ameridhia uteuzi wa Mabula Misugwi kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi…

Soma Zaidi »

Bashe aagiza Dk Msolla akamatwe

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa na kuhojiwa Meneja Masoko wa Kampuni ya mbolea ya Minjingu, Dk Mshindo Msolla…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Lema aliniambia anataka kurudi, nikamruhusu

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kabla ya kurejea nchini kwa Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema…

Soma Zaidi »

Bugando yazindua kliniki ya madakatri bingwa

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Bugando imezindua kliniki mpya ya madaktari bingwa na bingwa bobezi ‘Bugando Specialized Polyclinic’ kwa lengo…

Soma Zaidi »

Wakuu wa magereza hatarini kung’olewa

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Ramadhani Nyamka amesema wakuu wa magereza nchini watapimwa kwa utendaji kazi wao na wasiotosha…

Soma Zaidi »

TBA yatumia kadi kubana wapangaji

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umeweka mfumo wa kidijiti kwenye kitasa janja usioruhusu mpangaji kuingia ndani kama anadaiwa. Waziri wa…

Soma Zaidi »

CCM yapokea kilio bei ndogo ya alizeti

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitafi kisha katika mamlaka husika ombi la wananchi mkoani Singida kwamba serikali itoze kodi mafuta…

Soma Zaidi »
Back to top button