Kanda

Bil 44/- kuboresha afya, elimu Ilemela

MANISPAA ya Ilemela mkoani Mwanza imetumia Sh bilioni 44 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya afya na elimu. Kutekelezwa…

Soma Zaidi »

Silaha saba zasalimishwa

WAKAZI mkoani Tabora wameanza kuitikia wito wa Jeshi la Polisi wa kusalimisha silaha wanazomiliki kinyume cha taratibu. Jumla ya silaha…

Soma Zaidi »

Mwema kuongoza bodi ya shirika la magereza

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewateua Mwenyekiti, Katibu na wajumbe 10 wa bodi ya Shirika…

Soma Zaidi »

Kigogo Polisi matatani kuachia watuhumiwa 19

JESHI la Polisi mkoani Tanga limemkamata ofisa wake anayedaiwa kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo…

Soma Zaidi »

Kigogo FOA Motors mbaroni akidaiwa kutapeli Sh Mil 150

JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, linamshikilia Michael Mbata (34), mfanyabiashara mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma ya kujipatia…

Soma Zaidi »

Watu 101 wadakwa matukio ya uhalifu Moro

JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro, linawashikilia watu 101 kwa tuhuma za kuhusika na makosa mbalimbali, yakiwemo wizi wa simu…

Soma Zaidi »

‘Uhuru wa kujieleza, demokrasia vifuate sheria, haki’

UHURU wa kujieleza, uhuru wa kutoa mawazo, uhuru wa demokrasia  na uhuru wa kutoa habari, vyote vinapaswa kutolewa katika misingi…

Soma Zaidi »

Watumia Bandari ya Mtwara kusafirisha makaa ya mawe

KAMPUNI ya wazawa ya Jitegemee Holdings Company Ltd, inayojihusha na uchimbaji wa madini nchini, imeanza kutumia bandari ya Mtwara kusafirisha…

Soma Zaidi »

RC Simiyu: Mradi wa maji utapunguza adha Meatu

HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, imetumia kiasi cha Sh milioni 356, katika ujenzi wa mradi wa maji safi…

Soma Zaidi »

Kata ya Kamundi wamshukuru Samia ujenzi wa daraja

WAKAZI wa Kata ya Kamundi Halmashauri ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, wamepanga kufanya sherehe ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button