Kanda

Kaya 367,456 kupatiwa vyandarua Mtwara, Lindi

JUMLA ya kaya 367,456 katika Halmashauri sita Mikoa ya Mtwara na Lindi, zinatarajiwa kupatiwa vyandarua vyenye dawa kupitia kampeni, ambayo…

Soma Zaidi »

Vigogo Chadema waliomkataa Mwenyekiti Katavi wabanwa

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Mpanda, umewataka viongozi wa jumuiya za chama hicho wilayani humo,…

Soma Zaidi »

Wapongeza uanzishwaji sekondari ya Nyabange  

WAZAZI wa wanafunzi wanaosoma katika sekondari ya Kemoramba, ambao wanaishi Kijiji cha Nyabange, Kata ya Nyankanga mkoani Mara, wameeleza madhira…

Soma Zaidi »

Yametimia baada ya miaka 22 fidia Mtwara

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), imewakabidhi fedha ya fidia wananchi wapatao 50, waliokuwa wanaidai mamlaka…

Soma Zaidi »

Ataka mashirika ya hiari kuungana kukabili utumikishaji watoto

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela amezitaka Taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) kuungana kudhibiti tabia ya utumikishaji wa watoto…

Soma Zaidi »

Tanroads yatangaza zabuni njia nne Kibaha-Moro

SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imetangaza zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Kibaha – Mlandizi…

Soma Zaidi »

CBE yatafuta Sh bilioni 1.2 bweni la wasichana

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeandaa harambee ya kukusanya Sh bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za…

Soma Zaidi »

RPC Shinyanga ataka ulinzi shirikishi

KAMANDA Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi, amesema watahakikisha kunakuwepo ulinzi shirikisho wa kutosha, kwani kuna matukio ya mimba za utotoni,…

Soma Zaidi »

Katekista kortini akidaiwa kunajisi mtoto

JESHI la Polisi mkoani Geita, limemfikisha mahakamani kiongozi wa dini (Katekista), Athanas Rugambwa (62), mkazi wa kijiji cha Mganza wilayani…

Soma Zaidi »

Kata ya Nsemulwa walia changamoto ya maji

WANANCHI wa Mtaa wa Mnazi Mmoja, Kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, wameomba serikali ya Awamu ya Sita,…

Soma Zaidi »
Back to top button