Kanda

Kila eneo la kazi kuwa na ofisa ustawi jamii

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imesema itakuja na mkakati wa kuweka maofisa ustawi wa jamii…

Soma Zaidi »

Kilwa yavuka makadirio chanjo ya polio

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilwa imepata mafanikio makubwa katika awamu ya tatu ya chanjo ya polio kwa kuchanja watoto zaidi…

Soma Zaidi »

Kampuni za ulinzi kufuatiliwa walinzi zinaoajiri

MKUU wa Wilaya ya Geita, Wilson Shimo amesema wamejipanga kufuatilia, kuchunguza na kuzichukulia hatua kampuni binafsi zinazotoa huduma ya ulinzi…

Soma Zaidi »

Serikali yazibana halmashauri tozo, ushuru wa mazao

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Soko Kuu Mwanza kivutio, fursa ya uchumi  

UTEKELEZAJI wa mradi wa Soko Kuu la Jiji la Mwanza umefikia asilimia 96 na ni kivutio kwa wakazi wa jijini Mwanza…

Soma Zaidi »

Serikali yakopeshwa tril 2.3/- za miradi

TANZANIA imesaini makubaliano ya mkopo nafuu na Serikali ya Korea Kusini wa Dola za Marekani bilioni moja sawa na shilingi…

Soma Zaidi »

Dk Mpango ataka ushirikiano Afrika usalama wa chakula

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameyataka mataifa ya Afrika kushirikiana kukabili changamoto zinazojitokeza katika bara hilo ili kuwa na…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka kujua fedha zinapotea wapi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (ZAECA), Ali…

Soma Zaidi »

Samia aagiza usalama uimarishwe

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kujifunza mbinu mpya za kiulinzi na kiusalama…

Soma Zaidi »

Tamisemi yatoa maagizo kurudisha hadhi ya walimu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa ametoa maagizo kadhaa kurudisha…

Soma Zaidi »
Back to top button