Kanda

Mchungaji KKKT kortini tuhuma za kujaribu kulawiti mtoto

MCHUNGAJI wa Kanisa la KKKT Makedonia Lubaga, Manispaa ya Shinyanga, Harold Gamalieli Mkaro,  amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga…

Soma Zaidi »

Diwani, wengine 19 mbaroni kwa viuatilifu Masasi

WATU 20 akiwemo diwani wa Kata ya Lulindi Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara wamekamatwa na Jeshi la Polisi…

Soma Zaidi »

Watoto waliozaliwa kabla ya wakati wasaidiwa

OFISA Tarafa Kata ya Elerai, Titho Cholobi kwakushirikiana na wadau mbalimbali wametoa msaada  pampasi, maziwa ya kopo, taulo za majimaji…

Soma Zaidi »

‘Kukosekana takwimu sahihi kunaathiri wenye ulemavu’

MWENYEKITI wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu  mkoani Shinyanga (Shivyawata),  Richard Mpongo, amesema wamekuwa wakishindwa kusaidiwa kikamilifu kwa sababu ya…

Soma Zaidi »

Kagera wafikia sensa asilimia 97

WAKATI leo ndiyo tarehe ya mwisho ya Sensa ya Watu na Makazi nchini, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila,…

Soma Zaidi »

Jafo aagiza udhibiti mipakani mifuko ya plastiki

IKIWA leo inaanza opereshani ya nchi nzima ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plasiki, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa kuiba vifaa vya ujenzi vya serikali

WATUMISHI wanane wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita wanashikiliwa kwa tuhuma za kuiba vifaa vya ujenzi . Vifaa…

Soma Zaidi »

Saruji Mbeya yapewa siku 30 kurekebisha mazingira ya kazi

SERIKALI imetoa siku 30 kwa uongozi wa kiwanda cha saruji cha Mbeya kiboreshe mazingira ya kazi kwa wafanyakazi. Naibu Waziri…

Soma Zaidi »

Serikali kutumia tril 1.1/- miradi ya maji Dar, Pwani

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imewekeza Sh trilioni 1.1 kutekeleza miradi 13 ya majisafi na…

Soma Zaidi »

Tanzanite City mbioni kujengwa Mirerani

SERIKALI iko katika mpango wa kujenga Kituo cha Tanzanite City, kitakachojengwa Mji wa Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara,  lengo ikiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button