Kanda

World Vision wakabidhi miradi ya jamii Manonga

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian amelishukuru Shirika la World Vision Tanzania kwa kutoa elimu kwa watoto na…

Soma Zaidi »

Mwanza waanza kampeni ya uzazi salama

MKOA wa Mwanza umeanza kampeni kuhamasisha mama wajawazito kuhudhuria kliniki ili kufahamu afya yao na hivyo kuwaepusha na matatizo yasiyoyalazima…

Soma Zaidi »

Washikiliwa kwa kutaka kukwamisha sensa, yupo karani

WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mara kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma. Mratibu…

Soma Zaidi »

RC aasa vijana wa ‘Mama Kamwaga Mkwanja’ twenzetu shamba

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewataka vijana kukabili changamoto zilizopo katika kilimo ili kujikwamua kiuchumi. Aidha, alisema ingawa…

Soma Zaidi »

WFP yakabidhi vifaa vya mawasiliano OWM

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limekabidhi vifaa vya mawasiliano katika Ofisi ya Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »

Majaliwa awapa maagizo Ma-RC kufanikisha sensa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati sensa ikiendelea. Ametoa…

Soma Zaidi »

Serikali ya ahidi kuendelea kuwekeza TAZARA

SERIKALI imesema imetenga zaidi ya Sh bilioni 12 katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa utoajki…

Soma Zaidi »

Sababu ndege nyingi kuja Tanzania zatajwa

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari amesema kufungwa kwa mitambo ya kisasa zikiwemo rada…

Soma Zaidi »

Kizimbani kwa kuisababishia Tanesco hasara mil 274/-

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, Ally Kibope (25), mkazi wa Keko Mwanga na Athumani Omary (40) anayeishi Ilala Bungoni…

Soma Zaidi »

Samia apongezwa Royal Tour kuongeza ajira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema ushiriki wa Rais…

Soma Zaidi »
Back to top button