Maisha ya Vijijini

Serikali yajipanga kuboresha makazi ya Wazee nchini

SERIKALI kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imejipanga kushirikiana na Wizara za kisekta na wadau…

Soma Zaidi »

Majaliwa awapa maagizo Ma-RC kufanikisha sensa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati sensa ikiendelea. Ametoa…

Soma Zaidi »

Sababu ndege nyingi kuja Tanzania zatajwa

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari amesema kufungwa kwa mitambo ya kisasa zikiwemo rada…

Soma Zaidi »

Kizimbani kwa kuisababishia Tanesco hasara mil 274/-

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, Ally Kibope (25), mkazi wa Keko Mwanga na Athumani Omary (40) anayeishi Ilala Bungoni…

Soma Zaidi »

Samia apongezwa Royal Tour kuongeza ajira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema ushiriki wa Rais…

Soma Zaidi »

Asifu maneno 200 ya Kiswahili kuingizwa Oxford

BARAZA la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limesema uamuzi wa Kamusi ya Oxford kuingiza maneno 200 ya Kiswahili kwenye kamusi hiyo…

Soma Zaidi »

Mtusate sasa ina bil 51.99/- za uendelezaji sayansi

SERIKALI imefanikiwa kuanzisha Mfuko wa Taifa wa Uendelezaji wa Sayansi na Teknolojia (MTUSATE) ambao mpaka sasa umepokea zaidi ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »

Bil 30/- za EU kunufaisha wachimbaji wadogo madini

WACHIMBAJI wadogo wa madini nchini hasa vijana na wanawake wataanza kunufaika na programu ya kuboresha mazingira ya uchimbaji madini, inayofadhiliwa na…

Soma Zaidi »

Utafiti: Wengi wasema huduma za jamii zimeboreshwa

TAASISI ya Twaweza imesema asilimia 68 ya wananchi waliohusishwa kwenye utafiti wanasema huduma za jamii katika kipindi cha miezi sita…

Soma Zaidi »

Msimamo watolewa wizi wa vishikwambi

JESHI la Polisi limewataka walioiba vishikwambi wanavyotumia makarani wa sensa ya watu na makazi wavirudishe na limeonya mafundi simu waache…

Soma Zaidi »
Back to top button