Maisha ya Vijijini

Muuaji, mbakaji wa A. Kusini arudishwa kwao

MHALIFU wa makosa ya ubakaji na mauaji raia wa Afrika Kusini aliyetoroka gerezani na kukamatwa jijini Arusha wiki iliyopita, amesafirishwa…

Soma Zaidi »

Kweleakwelea waharibu mashamba ya wakulima

TAKRIBANI heka 1,600 za mashamba ya mpunga Kata ya Kagu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani hapa, zipo hatarini kushambuliwa…

Soma Zaidi »

Upatikanaji maji vijijini wafikia asilimia 64 Singida

UPATIKANAJI wa maji katika vijiji mkoani Singida umeongezeka kutoka asilimia 57 Mwaka 2020 hadi asilimia 64 Februari 2023. Hayo yalielezwa…

Soma Zaidi »

RC Tanga aitaka CWT kuheshimu sheria

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amekitaka Chama cha Walimu (CWT) kuheshimu utawala wa sheria uliopo kwa kutochagua wagombea…

Soma Zaidi »

Mmiliki kituo cha watoto kuendelea kushikiliwa

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi Jamila Yusuf ameagiza kuendelea kushikiliwa na Jeshi la polisi mmiliki wa kituo cha…

Soma Zaidi »

Maofisa ugani Iringa wapewa pikipiki

SERIKALI imetoa pikipiki 216 kwa maofisa ugani wa Mkoa wa Iringa, hatua itakayosaidia  kumaliza kilio cha wakulima kutofikiwa kwa wakati…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha ujenzi majosho 7 Msomera

SERIKALI imekamilisha ujenzi wa majosho saba kwa ajili ya kuoshea mifugo, miradi kwa ajili ya malisho ya mifugo ambapo maandalizi…

Soma Zaidi »

Chongolo amuonya mkandarasi umeme vijijini Moro

MKANDARASI anayesambaza umeme katika vijiji vya wilaya sita za mkoani Morogoro, Kampuni ya HNXJDL JV ya China amemkera Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »

RC Kagera atoa maagizo mkandarasi umeme vijijini

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anayetekeleza  mradi wa Umeme Vijijini (REA) awamu ya tatu mzunguko wa…

Soma Zaidi »

‘REA haitatoa kazi kwa wakandarasi wababaishaji’

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, amesema serikali haitatoa kazi kwa mkandarasi yeyote ambaye anafanya…

Soma Zaidi »
Back to top button