Tanzania

Serikali yaonya utapeli misaada Kariakoo

DAR ES SALAAM – Serikali imesisitiza kuwa michango na misaada yoyote kwa ajili ya kusaidia waathirika wa kuporomoka kwa jengo…

Soma Zaidi »

LIVE: Shuhudia tukio kuaga miili ya waathirika kariakoo

DAILYNEWS DIGITAL inakusogezea LIVE : Fuatilia hapa tukio  la kuaga miili ya waathirika wa kuporomoka kwa jengo kariakoo.  LIVE: Bonyeza…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi kumwakilisha Rais Samia mkutano SADC

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Tanzania, Samia…

Soma Zaidi »

Waliofia Kariakoo kuangwa mchana huu

DAR ES SALAAM – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika zoezi la kuuaga miili 13 ya watu waliokufa…

Soma Zaidi »

Picha| Jengo la poromoka Kariakoo na kuua

DAR ES SALAAM – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshuhudia juhidi za uokozi baada ya jengo la ghorofa kuporomoka na kuua…

Soma Zaidi »

Kuporomoka jengo K’Koo: Mmoja afa, 28 waokolewa

Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wameungana na vikosi vya…

Soma Zaidi »

Tarura Manyara kufungua barabara mpya Km. 109

WAKALA  ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km.…

Soma Zaidi »

Serikali kuwawezesha wajasiriamali vijana, wanawake

SERIKALI imeahidi kuwawezesha wajasiliamali vijana na wanawake kwa kuwapatia maarifa, masoko, fursa za kijamii na kiuchumi ili kupiga hatua katika…

Soma Zaidi »

Wahitimu TIA Mtwara watakiwa kupambana na umaskini

WAHITIMU wa Chuo cha Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Mtwara wameombwa kutumia elimu waliyoipata kwa ajili ya kupambana…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi ashiriki mazishi ya Katibu wa CCM Kilolo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi ameongoza waombolezaji katika shughuli ya kutoa heshima za…

Soma Zaidi »
Back to top button