Tanzania

Dola milioni 332 kuimarisha GPE

RAIS mstaafu wa awamu ya nne,Dk Jakaya Kikwete amesema Taasisi ya ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) ni wadau muhimu katika…

Soma Zaidi »

UDSM kuongeza masomo kwa wenye uhitaji

UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD) umesema kuwa utaongeza fursa za masomo kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum…

Soma Zaidi »

Wakazi Kilimawe kunufaika na mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria

WAKAZI zaidi ya 2000 kutoka kijiji cha Kilimawe kata ya Mwantini Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wameanza kunufaika na mradi…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

We will continue with our topic SWAHILI ADVERBS AND PREPOSITIONS. Useful Expressions Fanya hivi,.                                                   Do (it)this way. Usifanye hivi,.                                               I…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 44 kujenga uwanja wa ndege Ibadakuli

UWANJA wa ndege wa unaojengwa eneo la Ibadakuli mkoani Shinyanga umefikia asilimia 6.5 kwenye ujenzi pamoja na upanuzi huku gharama…

Soma Zaidi »

Wahitimu Dk Salim Ahmed Salim washauriwa kujiajiri

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amewataka wahitimu wa Kituo cha…

Soma Zaidi »

Serikali kuja kivingine miundombinu viwanja vya ndege

KIGOMA: SERIKALI imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi…

Soma Zaidi »

Bashungwa awapa raha Wananchi Mpwapwa

DODOMA; Waziri Ujenzi, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wananchi wa Wilaya Mpwapwa kuwa Serikali ipo mbioni kusaini mkataba wa ujenzi kwa kiwango…

Soma Zaidi »

107 mbaroni kwa makosa mbalimbali

TANGA: JESHI la Polisi mkoani Tanga, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 107 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya mauaji,wizi wa mifugo,unyang’anyi wa kutumia…

Soma Zaidi »

Maofisa Ardhi watuhumiwa kuhonga viwanja viongozi

DODOMA: WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema baadhi ya watendaji sekta ya ardhi wasiokuwa wema…

Soma Zaidi »
Back to top button