Tanzania

Ajali: Wawili wahofiwa kufa makutano Musoma, Tarime

WATU wawili wanadaiwa kufa baada ya gari walilopanda kufeli breki, kuacha barabara na kuingia mtaroni kisha kulipuka katika makutano ya…

Soma Zaidi »

Simba SC watoa pole waathirika mafuriko Hanang

KLABU ya Simba SC imetoa pole kwa familia zilizoguswa zilizopoteza ndugu zao katika mafuriko yaliyotokea Wilaya ya Hanang mkoani Manyara…

Soma Zaidi »

Timu ya Madaktari yatua Manyara kutoa huduma

MANYARA: KUFUATIA mafuriko yaliyotokea katika Mji wa Katesh, Mkoa wa Manyara na Kusababisha vifo vya watu takribani 49 na majeruhi…

Soma Zaidi »

DCEA yatoa elimu matumizi dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa elimu kwa waraibu zaidi ya 150 wanaotumia dawa za…

Soma Zaidi »

Kiwanja cha ndege kujengwa ndani ya hifadhi mikumi

MSIMAMIZI Mkuu wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) wa Benki ya Dunia…

Soma Zaidi »

“Wekezeni kwenye maadili ya watoto”

JUMUIYA ya wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salam, imetahadharisha jamii kuwekeza zaidi katika malezi bora…

Soma Zaidi »

Hifadhi sita za taifa kutumika mradi soko la kaboni 

JUMLA ya hekari milioni 1.8 katika hifadhi  sita  za taifa zitatumika katika mradi wa soko la Kaboni baada ya Mamlaka…

Soma Zaidi »

Mavunde achangia ujenzi wa shule

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo Desemba 2,2023 amekabidhi mifuko 500 ya saruji kwa Mkurugenzi wa Jiji…

Soma Zaidi »

Prof Mkenda: Wahitimu katekelezeni mageuzi ya elimu

DAR ES SALAAM: Serikali inawatarajia wahitimu katika mafunzo ya elimu kuwa mabalozi wa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo…

Soma Zaidi »

TTB yaja kivingine sikukuu za mwisho wa mwaka

DAR ES SALAAM: Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ikishirikiana na wadau wa utalii imekuja na programu maalum ya kuhamasisha utalii…

Soma Zaidi »
Back to top button