Tanzania

“Wanahabari tumieni vizuri kalamu zenu”

LINDI: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari nchini kufanya kazi kwa kuzingatia uadilifu, weledi na maadili ya tasnia…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Acheni kukopakopa wanahabari

LINDI: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi na wizara zote kutenga fungu ili kulipia matangazo yanayopelekwa katika vyombo vya habari…

Soma Zaidi »

Nyumba za waathirika wa tope kukamilika Disemba

NYUMBA 47 zinazojengwa na Kampuni ya Diamond Williamson Ltd inayochimba madini ya Almas eneo la Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga…

Soma Zaidi »

Majaliwa alaani uovu unaofanywa kwa Wanahabari

LINDI: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelaani vitendo viovu vinavyoendelea kuwakumba wanahabari ikiwemo vitisho, kutezwa nguvu na kufanyiwa vurugu katika kutekeleza…

Soma Zaidi »

Ubungo wafikiwa, baada ya Kigamboni na Temeke

DAR ES SALAAM: Halmashauri za Temeke na Kigamboni mkoani Dar es Salaam kupitia huduma ya Ardhi Kliniki zimetoa jumla ya…

Soma Zaidi »

Makonda asisitiza haki kwa wote

MWANZA: CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watumishi na watendaji wa serikali kote nchini kuwa waaminifu katika kutoa huduma bora kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Idadi ya watahiniwa kidato cha 4 yaongezeka

WANAFUNZI 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa leo. Taarifa iliyotolewa na…

Soma Zaidi »

Daraja Kitengule lakamilika kwa asilimia 99

UJENZI wa daraja la Kitengule kwenye mto Kagera uliogharimu zaidi ya Sh bilioni 31 .5 umekamilika kwa asilimia 99 likiwa…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 92 kujenga barabara Bugene-Burigi Chato

SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Bugene kwenda Burigi Chato Hifadhi ya Taifa yenye…

Soma Zaidi »

Dk Tulia ateta na Polisi Wanawake

DODOMA: Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amewataka wanamtandao wa Polisi wanawake Tanzania (TPF-Net) kuchukua hatua na kuingia kwenye kamati,…

Soma Zaidi »
Back to top button