Tanzania

Madereva wafundwa kuzingatia sheria

MADEREVA wametakiwa kutii sheria za usalama barabarani huku ikielezwa asilimia kubwa ya ajali zinatokana na harakati za kulipita gari jingine…

Soma Zaidi »

Ujenzi daraja la Magufuli wafikiwa asilimia 78

MENEJA wa Wakala ya Barabara (TANROADS) mkoani Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amesema ujenzi wa daraja la Magufuli (Kigongo Busisi) limefikia…

Soma Zaidi »

Mawakili 10 kumtetea mjane wa nyama ya swala

CHAMA cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa kimewataja mawakili 10 kiliowapanga katika maandalizi hadi usikilizwaji wa rufaa ya…

Soma Zaidi »

Kapinga ataka kasi ya Kuunganisha Umeme vijijini

DODOMA: WAZIRI wa Nishati, Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika…

Soma Zaidi »

Waziri aishauri serikali kuwekeza sekta zisizo rasmi

WAZIRI wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shabaan ameishauri serikali kuwekeza kwenye sekta isiyo rasmi ili kuchangia…

Soma Zaidi »

Serikali kuongeza safari za treni Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kutokana na changamoto ya usafiri inayowakabili wakazi wa Gongo la…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 27 zawezesha vikundi 880 Dar

MKURUGENZI wa Jiji la Dar es Salaam, Jomaary Satura amesema katika kipindi cha miaka mitatu halmashauri hiyo imetoa Sh bilioni…

Soma Zaidi »

“Wanaharakati haki za binadamu wasiruhusu ukatili”

MAKAMU wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Phumzile Mlambo Ngcuka amewaelekeza wanaharakati wa kifeminia nchini kujikita katika kuelimisha kuhusu ulinzi…

Soma Zaidi »

Biashara ya binadamu ipo-Chalamila

BIASHARA ya binadamu hapa nchini bado ipo kwa kuwa mabinti wanasafirishwa kwenda nje ya nchi, pia wanatoka mikoani na kwenda…

Soma Zaidi »

Treni kutengwa behewa la wazee, wagonjwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema anapanga upya njia za usafiri wa treni ijulikanayo kama ‘treni…

Soma Zaidi »
Back to top button