Tanzania

Tasac yatahadharisha uchafuzi mazingira baharini

MAMLAKA  ya Udhibiti wa Usafiri kwa Njia ya Maji Nchini (TASAC) imevitaka vyombo vyote vinavyotoa huduma mbalimbali majini zikiwemo meli…

Soma Zaidi »

Athari mvua za El-nino tahadhari zinapaswa kufuatwa

HIVI sasa mvua zinaendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini baada ya mamalaka ya hali ya Hewa Tanzania(TMA) kutangaza uwepo wa…

Soma Zaidi »

TLS kumtetea mjane wa nyama ya swala

CHAMA cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kanda ya Iringa wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

We proceed with our topic The Impersonal and the reciprocal forms of verbs Useful Expressions Kuna nini?       …

Soma Zaidi »

“Afrika Mashariki waige kwa waliofanikiwa”

NCHI za Afrika Mashariki zinaweza kujifunza kutoka kwenye nchi nyingine zilizofanikiwa kwa kuiga ujuzi wanaoutumia. Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya…

Soma Zaidi »

“Ni wakati wa kupambana na waghushi nyaraka”

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi, Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kughushi nyaraka za miradi mbalimbali katika taasisi za serikali na…

Soma Zaidi »

PURA yajivunia mafanikio kupitia Baraza la Wafanyakazi

DODOMA: Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Charles Sangweni amesema ufanisi…

Soma Zaidi »

Tabaro: Msikatie tamaa watoto waliofeli kidato cha 4

DAR ES SALAAM: WAZAZI na Walezi wametakiwa kuacha kuwakatia tamaa na kuwanyanyapaa watoto ambao wamefeli kidato cha nne na badala…

Soma Zaidi »

Wasiojulikana wakwamisha ujenzi hospitali Pangani

TANGA: Watu wasiojulikana wameiba magunia mawili ya misumari katika mradi wa hospitali ya Wilaya ya Pangani Mkuu wa Wilaya ya…

Soma Zaidi »

TIC yakutana na vilio vya wawekezaji Iringa

ZIARA ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo ha Uwekezaji Tanzania (TIC) imekutana na vilio vya wawekezaji mkoani Iringa…

Soma Zaidi »
Back to top button