Tanzania

TCAA yavunja ukimya taarifa za ndege iliyokodiwa na CHADEMA

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya usafiri wa anga Tanzania TCAA imetoa ufafanuzi wa habari iliyosambaa kuhusu kibali cha ndege iliyokodiwa…

Soma Zaidi »

Japan yajitosa kambi ya wakimbizi Nyarugusu

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Japani  imetoa msaada wa  Dola za Kimarekani 500,000  sawa na Sh bilioni 1.250 kwa ajili…

Soma Zaidi »

Pinda aonya wasambazaji mbolea

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri kwa Rais katika masuala ya Kilimo na Chakula, Mizengo Pinda amewaonya…

Soma Zaidi »

Polisi wanawake kupelekwa nje ya nchi mwakani

JESHI la Polisi limejipanga kupeleka kikosi cha askari wanawake kati ya 120 hadi 150 kwa ajili ya kulinda amani Januari…

Soma Zaidi »

Tanzania, Ujerumani zakubaliana kukuza biashara

TANZANIA na Ujerumani zimekubaliana kuhakikisha wanakuza kiwango cha biashara na uwekezaji kilichopo baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa…

Soma Zaidi »

Mahakama Shinyanga kusikiliza kesi sita leo

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Frank Mahimbali ameanza kusikiliza mashauri ya kesi sita za mauaji kwa washtakiwa…

Soma Zaidi »

Takukuru Arusha yabaini ubadhilifu wa Sh milioni 10 miradi miwili

KATIKA kipindi cha mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Arusha imefuatilia…

Soma Zaidi »

Takukuru Arusha wabaini uvujaji wa pesa za TRA

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Arusha (TAKUKURU) imebaini ufujaji wa kodi ya zuio ya Mamlaka ya Mapato…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 13 kujenga stendi ya mfano mjini Geita

TAKRIBANI Sh bilioni 13 inatarajiwa kitumika kujenga kituo cha mabasi cha kisasa mjini Geita ikiwa ni sehemu ya Mradi wa…

Soma Zaidi »

Shigela awatolea uvivu wazazi utoro wa wanafunzi

GEITA: WANANCHI wa Mkoa wa Geita hususani wilayani Mbogwe wametakiwa kuwapeleka watoto katika shule za mchepuo wa Kingereza ili kuwajengea…

Soma Zaidi »
Back to top button