Tanzania

Pinda ahimiza umwagiliaji kumaliza umaskini nchini

WAZIRI Mkuu mstaafu na Mwenyekiti wa Baraza la Rais la Chakula na Kilimo, Mizengo Pinda ametaka msukumo zaidi kwenye kilimo…

Soma Zaidi »

Bunge lashauriwa kuondoa dhamana kwa DPP

WADAU wa sheria wakiwamo wanasheria na mawakili wamelishauri Bunge lirekebishe sheria inayompa mamlaka Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kuzuia dhamana za…

Soma Zaidi »

Tanzania yatoa msimamo usalama DRC

SERIKALI ya Tanzania imesema inaunga mkono jitihada za kanda kuimarisha ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…

Soma Zaidi »

Mbunge akarabati gari la zimamoto

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood amekarabati gari la Jeshi la Zimamoto na Ukoaji lililopata hitilafu na kushindwa…

Soma Zaidi »

DPO Pay yapata leseni Tanzania

KAMPUNI ya DPO Pay inayotoa huduma za malipo ya kidijitali imetambuliwa na kupewa kibali na Benki Kuu ya Tanzania kuendesha…

Soma Zaidi »

“Wanafunzi wa kike muwaone kama nyara za serikali”

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas amewaonya wanaume wanaotamani kuwaoa au kujiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi…

Soma Zaidi »

Jaribio Bwala la Nyerere Februari- Makamba

WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amesema majaribia ya mitambo ya kufua umeme wa maji katika Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere…

Soma Zaidi »

Mafunzo ya sayansi kuongezea hamasa wanafunzi

SERIKALI kwa kushirikina na wafadhili wanatarajia kujenga vituo vya mafunzo ya sayansi kwa vitendo Ili kuongeza hamasa ya wanafunzi kujifunza…

Soma Zaidi »

Sensa: Vyombo vya majini vyafikia 52,189

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa ushirikiano na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wametoa ripoti ya sensa…

Soma Zaidi »

“Kaeni nao muwasikilize changamoto zao”

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini ‘LATRA’ kushirkiana na wadau mbalimbali…

Soma Zaidi »
Back to top button