Tanzania

Halmashauri kutekeleza agizo la Waziri Mkuu

MKURUNGEZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Tatu Isike amesema halmashauri hiyo imejipanga kutekeleza agizo la Waziri Mkuu la kutaka…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuweka mpango matumizi bora ya ardhi

WATAALAMU wa masuala ya ardhi katika Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuweka mpango wa matumizi bora ya ardhi katika…

Soma Zaidi »

Bashungwa asifu utendaji wa Rais Samia

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi madhubuti mwenye maono…

Soma Zaidi »

Changamoto somo la hisabati kupatiwa ufumbuzi

SERIKALI imeanza kuzifanyia kazi changamoto zinazochangia ufaulu mdogo kwenye somo la hisabati kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 52 zatumika ujenzi shule za msingi, sekondari Mtwara

SERIKALI imetoa kiasi cha Sh bilioni 52.8 kwa Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule…

Soma Zaidi »

Mwanafunzi wa sekondari auawa kwa fedha za TASAF

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu, Shule ya Sekondari Ally Mchumo, Tarafa ya Kipatimu, mkoani Lindi, Jamila Adamu (17), ameuawa kwa…

Soma Zaidi »

Waeleza changamoto waajiri wapya vituo vya kazi

WAKURUGENZI mbalimbali  kutoka sekta binafsi nchini  wamesema baadhi ya wahitimu wana changamoto  ya jinsi ya kuwasiliana na waajiri wanapopata kazi.…

Soma Zaidi »

Rais Samia aonya wala rushwa

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka dunia itambue kuwa Afrika si salama kwa wala rushwa na si kichaka cha ufichaji wa…

Soma Zaidi »

Ahukumiwa miaka 60 kwa kumbaka mwanafunzi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani Imemhukumu Alexander Charles Ndogole (53) kifungo cha miaka 60 jela kwa kosa la…

Soma Zaidi »

TIRA kuanzisha skimu bima ya kilimo

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ipo mbioni kuanzisha skimu ya Bima ya Kilimo kwa ajili ya utoaji majibu…

Soma Zaidi »
Back to top button