Tanzania

Wanaoishi hifadhi ya Ngorongoro wana changamoto ya upumuaji

WANAOISHI ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro wanakabiliwa na changamoto ya magonjwa ya upumuaji, kuharisha, magonjwa ya ngozi kutokana na hali…

Soma Zaidi »

Aweso asisitiza ubora miradi ya maji miji 28

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amekutana na makandarasi wanaotekeleza mradi wa maji kwenye miji 28 na kuwataka wazingatie ubora. Alikutana…

Soma Zaidi »

Uzalendo wawezesha ukuaji makusanyo TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa mafanikio ya ukusanyaji mapato unatokana na uadilifu na uzalendo unaooneshwa na wananchi kwa…

Soma Zaidi »

Mbunge ataka ubepari wa serikali madini ya kimkakati

KUTOKANA na umuhimu wa madini ya kimkakati duniani, Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (CCM) ameishauri serikali kufuata mfumo…

Soma Zaidi »

Watengeneza dawa asili ya kusindika ngozi kuondoa kemikali

TAASISI ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imebuni dawa ya asili ya kusindika ngozi ambayo itasaidia kuondoa matumizi na…

Soma Zaidi »

Mvua yaua watoto 37

WATOTO 37 wamekufa katika kipindi cha Januari hadi Aprili, mwaka huu kwa kusombwa na maji, kutumbukia kwenye visima au mashimo…

Soma Zaidi »

Korea kusaidia Z’bar utalii wa mikutano

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali yake imejipanga kutekeleza utalii wa mikutano kwa kujenga majengo na kumbi za…

Soma Zaidi »

Polisi yataja Bodaboda chanzo ajali ya Naibu Waziri

JESHI la Polisi nchini limesema ajali iliyotokea Aprili 26, 2023 ikimuhusisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk Festo Dugange…

Soma Zaidi »

ATE wasifu tozo nafuu Osha

CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) kimeipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa jithada kubwa iliyofanya ya kupunguza tozo za…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 1.2 kujenga kituo cha kutunza wazee Kigoma

TAASISI isiyo ya kiserikali ya Endeleza Wazee Kigoma (EWAKI) inatarajia kutumia kiasi cha Sh bilioni 1.2  kwa ajili ya ujenzi…

Soma Zaidi »
Back to top button