Tanzania

Afande Sele apongeza wananchi kuhamia Msomera

“Ongezeko la watu ni ongezeko la mahitaji na ongezeko la mahitaji ni ongezeko la binadamu hivyo mnaohama kwa hiari niwapongeze…

Soma Zaidi »

Mtambo wa kuhifadhi mbegu wazinduliwa Arusha

WIZARA ya Mifugo imezindua mtambo wa kuzalisha hewa baridi ya Nitrogen wenye zaidi ya Sh milioni 700 utakaotumika kuhifadhi mbegu…

Soma Zaidi »

CCM yatamba kuvuna maarifa China

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinataka kufanya siasa za kisasa zitakazobadilisha mwelekeo wa nchi kupitia mila na desturi za Kitanzania.…

Soma Zaidi »

Dk Mpango aagiza ukaguzi vituo vya mafuta

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameiagiza Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi kushirikiana na Wizara ya Ardhi na…

Soma Zaidi »

Royal Tour yabamba, yaonwa na bil 1.2

WATU bilioni 1.2 wamehusika moja kwa moja kuona, kutazama, kuangalia na kuifuatilia Tanzania kutokana na filamu ya Royal Tour huku…

Soma Zaidi »

Kagame aondoka, maagizo yafanyiwa kazi

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amemaliza ziara ya kikazi ya siku mbili na kuondoka nchini huku mawaziri wa Mambo ya…

Soma Zaidi »

Majaliwa asifu upelekaji wa maji ngazi ya vitongoji

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameisifu Wizara ya Maji namna ilivyojipanga vizuri katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maji nchini kwa lengo…

Soma Zaidi »

Ndalichako aagiza mafunzo sekta zisizo rasmi

WAZIRI wa Nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako ameuelekeza Wakala wa…

Soma Zaidi »

Watakiwa wasiingize mifugo eneo la historia

Wafugaji wametakiwa wasichunge mifugo yao na kuweka maboma ya muda katika eneo la nyayo za Zama Damu wa Kwanza lililopo…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Msaada wa kisheria kwa wanyonge utaimarisha amani

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kampeni ya huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia itasaidia kuboresha upatikanaji wa haki…

Soma Zaidi »
Back to top button