Tanzania

Heri ya kuzaliwa

BAADHI ya wafanyakazi wa Kitengo cha Habari za Kidigitali cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), wakifurahia Siku ya Kuzaliwa…

Soma Zaidi »

Majaji, mahakimu wataka kesi baada ya upelelezi

MAJAJI na mahakimu waliowahi kufanya kazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wamependekeza mbele ya Tume ya Kuangalia Haki Jinai…

Soma Zaidi »

Ugonjwa usiojulikana waua watano Kagera

WATU watano wamefariki Dunia na wengine wawili wakiwa hospitalini baada ya kuibuka kwa ugonjwa ambao bado haujajulikana huko Bukoba vijijini…

Soma Zaidi »

Samia ateua Makatibu Tawala wa Mikoa

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Mikoa watatu pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi…

Soma Zaidi »

Halmashauri Meru yapata dawa migogoro ya ardhi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Meru,  imenunua mashine za kisasa za upimaji wa ardhi kwa lengo la kuondoa changamoto za migogoro…

Soma Zaidi »

Majaliwa akemea umwamba miradi ya maji

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa maagizo mbalimbali kwa Mamlaka za Maji na Mabonde, huku akikemea tabia ya mikoa na wilaya…

Soma Zaidi »

TSC yapongezwa mfumo kupokea malalamiko

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Angellah Kaiuruki amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kupokea Malalamiko ya walimu kwa muda…

Soma Zaidi »

TSN, Vijana connect waunganisha nguvu

KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) imesaini hati ya makubaliano ya kudumu na Taasisi isiyo ya kiserikali ya ‘Vijana Connect’…

Soma Zaidi »

Tosci yatakiwa kuweka mkazo ukaguzi mbegu,mashamba

NAIBU  Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde ameitaka Taasisi ya Uthibiti na Udhibiti wa Mbegu Tanzania (TOSCI) kuhakikisha inaweka mkazo mkubwa kwenye…

Soma Zaidi »

‘Sekta binafsi, umma zishirikiane kuhusu elimu’

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuna haja ya vyuo vikuu na taasisi za elimu ya…

Soma Zaidi »
Back to top button