Tanzania

Prof. Silayo amteua Malyango kuwa Naibu Kamishna TFS

KAMISHNA wa Uhifadhi wa Wakala wa Misitu (TFS) Profesa Dos Santos Silayo amemteua na kumpandisha cheo Dk Abel Malyango Masota…

Soma Zaidi »

DC Iringa awataka akinamama kuachana na ‘vibenteni’

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema…

Soma Zaidi »

Chadema yaacha kuwahoji akina Mdee

MAWAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , wamedai hawana  nia  ya kuwahoji maswali ya dodoso Halima Mdee, Ester…

Soma Zaidi »

Mchengerwa aridhia uteuzi wa Kamishna TAWA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa ameridhia uteuzi wa Mabula Misugwi kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi…

Soma Zaidi »

Bashe aagiza Dk Msolla akamatwe

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa na kuhojiwa Meneja Masoko wa Kampuni ya mbolea ya Minjingu, Dk Mshindo Msolla…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Lema aliniambia anataka kurudi, nikamruhusu

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kabla ya kurejea nchini kwa Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema…

Soma Zaidi »

Spika Tulia atoa msaada wa Sh milioni 100

SPIKA wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson ametoa msaada wa Sh milioni…

Soma Zaidi »

Mwanaharakati anayetamani kila mwenye haki apate haki

“NAKUMBUKA nilikuwa nalia kabisa ninapoona mtu ananyanyaswa, nilikuwa napata uchungu ninaposikiliza kesi ya mtu aliyedhulumiwa na anapeleka kesi mpaka mahakama…

Soma Zaidi »

Lema amuomba Rais Samia kurejeshwa tanzanite Arusha

MWENYEKITI wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike…

Soma Zaidi »

Mangapwani kupokea mafuta, gesi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imelitangaza eneo la Mangapwani kuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button