Tanzania

‘REA haitatoa kazi kwa wakandarasi wababaishaji’

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, amesema serikali haitatoa kazi kwa mkandarasi yeyote ambaye anafanya…

Soma Zaidi »

Wabunge walia na wakandarasi umeme vijijini

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas ameahirisha kikao cha kutathimini utekelezaji wa usambazaji wa umeme vijijini Mkoani Mtwara,…

Soma Zaidi »

FFC, wafanyabiashara wajadili changamoto

WADAU wa biashara mbalimbali nchini wamekubaliana kwa pamoja kuhakikisha bidhaa wanazoagiza kutoka nje zinakuwa na chapa ya nchi zilizotengenezwa ili…

Soma Zaidi »

Wasaka dawa ukatili dhidi ya watoto

KUKITHIRI vitendo vya ukatili kwa watoto nchini, Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekutana na Waziri wa Maendeleo…

Soma Zaidi »

Afungwa jela kwa kukata kiganja cha bosi

MKAZI wa Ludewa mkoani Njombe, Baraka Luoga (20) amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata…

Soma Zaidi »

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatimiza umri wa miaka 63. Alizaliwa Januari 27, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Walimu waliocheka mtoto akichapwa wasimamishwa

KATIBU Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kakanja na walimu wanne…

Soma Zaidi »

‘Juhudi za pamoja zinahitajika kukabili ukatili kwa watoto’

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia  Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema juhudi za kukabiliana na ukatili…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi ataka ufanisi Uwanja Ndege Z’bar

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewaagiza watendaji wa Serikali wanaohudumu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani…

Soma Zaidi »

HakiElimu watoa mapendekezo kukomesha ukatili shuleni

SHIRIKA la HakiElimu limetoa mapendekezo tisa, ili kumaliza tatizo la ukatili shuleni ikiwemo mapitio ya Sheria ya Elimu ya Mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button