Tanzania

HakiElimu watoa mapendekezo kukomesha ukatili shuleni

SHIRIKA la HakiElimu limetoa mapendekezo tisa, ili kumaliza tatizo la ukatili shuleni ikiwemo mapitio ya Sheria ya Elimu ya Mwaka…

Soma Zaidi »

Polisi yazungumzia taarifa tishio la ugaidi

JESHI la Polisi nchini limeondoa hofu juu ya uvumi wa mashambulizi ya kigaidi nchini kufuatia taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa…

Soma Zaidi »

RC Katavi atoa maagizo utunzaji wa mazingira

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewaagiza wakuu wa wilaya mkoani humo kuwaondoa wananchi wote waliovamia maeneo yasiyoruhusiwa kwa…

Soma Zaidi »

‘Malipo ya fidia za bima yaandikwe Kiswahili’

KAMISHNA wa Bima Dk Baghayo Saqware, ametoa agizo kwa watoa huduma za bima wote, kuandaa nyaraka za malipo ya fidia…

Soma Zaidi »

RC Singida aagiza viongozi CHAMWAI kuwekwa rumande

MKUU wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda, ameagizwa kuwaweka rumande watu watano waliokuwa viongozi wa Chama cha Ushirika wa Akiba…

Soma Zaidi »

Serikali yafanyia kazi kero ya maji Ukerewe

NAIBU Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi, amesema serikali inaendelea na mipango ya utatuzi wa kero ya maji katika Wilaya ya…

Soma Zaidi »

RITA yatoa elimu Wiki ya Sheria Dar, Dom

KATIKA Wiki ya Sheria inayoendelea katika Jiji la Dodoma na Dar es Salaam Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA),…

Soma Zaidi »

Mkeka wa Wakuu wa Wilaya huu hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameafanya uteuzi wa Wakuu wapya wa Wilaya 37, kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Wilaya 48…

Soma Zaidi »

Samia avipongeza vyombo vya habari kwa kazi nzuri

RAIS Samia Suluhu Hassan amevipongeza vyombo vya habari nchini kutokana na kufanya kazi nzuri mwaka jana kwa kuandika habari ambazo…

Soma Zaidi »

TMA yahadharisha upepo mkali siku tatu

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahadharisha juu ya uwepo wa upepo mkali kwa muda wa siku tatu mfululizo…

Soma Zaidi »
Back to top button