Tanzania

UWT yataka viongozi wa kuipa ushindi 2024, 2025

UMOJA wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) umeagiza wanachama wanaochaguliwa kuongoza umoja huo katika mikoa wajitoe, wawajibike kuutumikia na…

Soma Zaidi »

Mifugo zaidi ya 400 yakamatwa, yauzwa Bonde la Ihefu –

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema wameuza mifugo zaidi ya 400 waliokamatwa kwenye eneo la ardhi oevu ya…

Soma Zaidi »

Majaji washauriwa kutafuta suluhu ya wakimbizi Afrika

RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Jaji Imani Aboud amesema ipo haja ya Chama cha…

Soma Zaidi »

Maofisa afya watakiwa kusimamia usafi wa mazingira

KAIMU Mkurugenzi Idara ya Kinga katika Wizara ya Afya, Dk Beatrice Mtayoba amewataka maofisa afya wote jijini Dodoma kusimamia usafi…

Soma Zaidi »

Latra yabadilisha njia za mabasi kuboresha usafiri

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) Mkoa wa Dodoma imebadilisha njia za kupita mabasi ili kuboresha usafiri…

Soma Zaidi »

Bil 19/- zapatikana kuimarisha taasisi ya bahari

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano imesema imefanikiwa kupata mkopo kutoka Benki ya Dunia wa Sh bilioni 19 ambazo zitatumika kwa…

Soma Zaidi »

Wawili wahukumiwa kunyongwa

WATU wawili wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Gervas Mgonja kwa kinachodaiwa ni…

Soma Zaidi »

ATCL yashindwa kutua Bukoba

NDEGE ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali…

Soma Zaidi »

DC aonya sungusungu kujigeuza wanasheria, mahakimu

MKUU wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Jamuhuri William amekemea tabia ya askari wa jeshi la sungu sungu kujigeuza wanasheria…

Soma Zaidi »

Serikali yasitisha shughuli za kibinadamu Mto Ruaha Mkuu ukikauka

SERIKALI imesitisha shughuli zote za kibinadamu katika Mto Ruaha Mkuu baada ya mto huo kukauka kutokana na ukataji miti hovyo,…

Soma Zaidi »
Back to top button