Tanzania

HABARI KUU: Oktoba 11, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2022 jioni.

Soma Zaidi »

‘Watumishi msiwe waoga kueleza changamoto zenu’

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi, amewataka watumishi wa umma nchini, kutoogopa kutoa malalamiko yao…

Soma Zaidi »

Takukuru yaagizwa kufuatilia ujenzi wa madarasa

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), wilayani humo,…

Soma Zaidi »

DUWASA yafanya kweli maji Nzuguni

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), inaendelea na uchimbaji wa visima na tayari imechimba visima vitano katika…

Soma Zaidi »

Ajali ya basi, gari ya msiba yaua watano

WATU watano wamefariki dunia  wengine   26 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Coaster iliyokuwa ikisafirisha maiti kugongana uso kwa uso…

Soma Zaidi »

Mabuye wapongeza ujenzi wa barabara

WANAKIJI cha Mabuye wilayani Missenyi, wameipongeza Wakala wa Barabara  za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa  hatua kubwa ya utengenezaji  wa…

Soma Zaidi »

Mahakama yaelezwa Padri alivyonajisi mtoto akiungama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi imeelezwa namna Paroko wa Parokia Teule ya Mtakatifu Dionis Aropagita ya Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Sosthenes Bahati (41)…

Soma Zaidi »

Missenyi kuunganishwa maji ndani ya siku 7

WANANCHI walioomba kuunganishwa maji wilayani Misenyi watapatiwa huduma hiyo ndani ya siku saba. Kauli hiyo imetolewa na kiongozi wa mbio…

Soma Zaidi »

SMZ kubadili mwelekeo wa utalii

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejipanga kubadili mwelekeo wa utalii kutoka katika maeneo ya fukwe na kwenda katika…

Soma Zaidi »

Samia, Ruto wakubaliana mambo 10

RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais wa Kenya, Dk William Ruto wamewaagiza mawaziri wao kuhakikisha ifikapo Desemba mwaka huu, wawe…

Soma Zaidi »
Back to top button