Tanzania

Mradi wa maji Rorya, Tarime waiva

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amemkabidhi mkandarasi eneo la ujenzi wa mradi wa majisafi na usafi wa mazingira  Wilaya za…

Soma Zaidi »

Waziri Kairuki atembelea ofisi za DART

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki, ametembelea Ofisi za Wakala…

Soma Zaidi »

‘Msiwaoze wanaosubiri matokeo la saba’

JESHi la Polisi Mkoa wa Katavi, limewaonya wazazi na walezi mkoani humo watakaobainika kuwaoza watoto wao waliohitimu darasa la saba,…

Soma Zaidi »

RC Simiyu: Tuongeze uzalishaji, tuweke akiba ya chakula

WAKAZI wa Mkoa wa Simiyu, wametakiwa kuongeza nguvu katika kilimo na uzalishaji wa mazao ya chakula na kuweka akiba ya…

Soma Zaidi »

Kanisa kuendesha maombi kwa viongozi

MAOMBI maalum ya  kuwaombea viongozi wakuu wa nchi,pamoja na Tanzania kwa ujumla yanatarajia kuanza leo Jumatatu jijini Dar es Salaam.…

Soma Zaidi »

Matukio 270 ukatili wa kijinsia yaripotiwa Katavi

MATUKIO 270 ya vitendo vya ukatili na unyayasaji wa kijinsia yameripotiwa mkoani Katavi, ukilinganisha na makosa 240 yaliyoripotiwa kwa kipindi…

Soma Zaidi »

Kyerwa watakiwa kutunza miradi ya maji

WANANCHI wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera wametakiwa kutunza miradi ya maji ili idumu. Kauli hiyo imetolewa na kiongozi wa…

Soma Zaidi »

Samia: Viongozi wa dini kemeeni maovu

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini nchini wakemee maovu zikiwemo na dhuluma, mauaji na mmomonyoko wa maadili. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »

Serikali yashauriwa uwazi kudhibiti ubadhirifu

SERIKALI imeshauriwa kuweka wazi ripoti za mapato na matumizi ya miradi yake kwa ngazi mbalimbali ili kudhibiti wizi na ubadhirifu…

Soma Zaidi »

Samia apongezwa uwekezaji wa tri 37/-

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuvutia uwekezaji wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 16…

Soma Zaidi »
Back to top button