Tanzania

Madarasa 134 sekondari kujengwa Mtwara

SERIKALI imetoa Sh bilioni 2.680 kwa ajili ya ujenzi vyumba vya madarasa 134 kwa shule za sekondari katika Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Madarasa 100 sekondari kujengwa Arusha

SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan, imetoa Sh bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 100 katika…

Soma Zaidi »

Ummy: Kagera ni salama, atakaye na aje

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu, amekabidhi magari matano  kwa ajili ya kampeni ya kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika…

Soma Zaidi »

Mwenge waingia Kagera

MWENGE wa Uhuru umeingia mkoani Kagera, ambapo kilele chake itakuwa Oktoba 14 mwaka huu na mgeni rasmi atakuwa Rais Samia…

Soma Zaidi »

Waziri Kairuki akabidhiwa ofisi Tamisemi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki, amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa…

Soma Zaidi »

Aunguzwa mikono, akosa mitihani darasa la saba

MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani hapa amejeruhiwa kwa kuunguzwa mikono…

Soma Zaidi »

Tanzania yaita wageni, utalii waimarika

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekaribisha watu kutoka mataifa mbalimbali kuja Tanzania kwa kuwa ina wananchi wakarimu, wapenda amani, utulivu na…

Soma Zaidi »

Benki ya Dunia yatoa mabilioni Dar

BENKI ya Dunia imetoa mkopo wa Dola za Marekani milioni 200 (Sh bilioni 466.387) kugharamia mradi wa Bonde la Msimbazi…

Soma Zaidi »

Samia awapa matumaini Darasa la Saba

RAIS Samia Suluhu Hassan amewaeleza wanafunzi wa Darasa la Saba kuwa serikali itahakikisha inakamilisha maandalizi ya miundombinu ya kuwapokea watakaoendelea…

Soma Zaidi »

Watanzania watatu wawania tuzo Qatar

BARAZA la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limesema ushiriki wa Watanzania watatu katika Tuzo za Hamad mwaka huu kwa kutafsiri kitabu…

Soma Zaidi »
Back to top button