Tanzania

Simiyu kamili maadhimisho Wiki ya Chakula

MKOA wa Simiyu unatarajiwa kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya Wiki ya Chakula Duniani, yanayotarajiwa kufanyika kitaifa mkoani humo kuanzia Oktoba…

Soma Zaidi »

Darasa la saba 1,384,340 kuanza mitihani kesho 

JUMLA ya watahiniwa 1,384,340 wanaanza kufanya mtihani wa darasa la saba Tanzania Bara kwa siku mbili kuanzia kesho. Kaimu Katibu…

Soma Zaidi »

Wateja 7,000 Tanesco bado kuunganishiwa umeme

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco), limesema ni wateja 7,000 tu, ambao bado hawajaunganishiwa umeme kati ya wateja karibia 100,000 waliokuwa…

Soma Zaidi »

Wizara yaongeza siku malalamiko ya ardhi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeongeza siku tatu za kusikiliza changamoto mbalimbali za ardhi  katika jiji la…

Soma Zaidi »

Papa Francis amtunuku nishani Mtanzania

BABA Mtakatifu Papa Francis, amemtunuku Padri Richard Mjigwa wa Tanzania, nishani ya Msalaba wa Kanisa na Papa kutokana na huduma…

Soma Zaidi »

Wakabidhiwa vyerehani Katavi

HALMASHAURI ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, imekabidhi vyerehani vinne  kwa kikundi cha vijana cha Umoja wa Mafundi Nguo kutoka…

Soma Zaidi »

TBA yasisitiza mambo mazuri zaidi yanakuja

WAKALA wa Majengo nchini (TBA), imewahahakikishia Watanzania kuwa itaendelea kubuni, kutathmini, kutekeleza na kusimamia miradi ya ujenzi kwa ufanisi, kwani…

Soma Zaidi »

WHO yaahidi vifaa tishio la Ebola

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeahidi kushirikiana na serikali ya Tanzania kwa kutoa  vifaa vya kutosha  vya  matayarisho muhimu ya…

Soma Zaidi »

Miundombinu ya barabara kuendelea kuboreshwa

SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara, ili kufungua shughuli za kiuchumi, ambapo kwa sasa miudombinu ya barabara za wilaya…

Soma Zaidi »

Bibi wa miaka 75 auawa mgogoro wa ardhi

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia Nestory Elias (62), mkazi wa Bon’gola, Kata ya Kilakala,  Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma…

Soma Zaidi »
Back to top button