Tanzania

CBE yashukuru mwitikio harambee mabweni ya wasichana

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani…

Soma Zaidi »

Ujenzi waanza mradi wa Safari City

UJENZI wa Mradi wa Safari City tayari umeanza ambapo mamlaka zinazohusika zimeendelea na uwekaji wa miundombinu muhimu ya barabara, maji…

Soma Zaidi »

Serikali kulipa tril 7.91/- deni la watoa huduma

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande amesema serikali itahakikisha madeni ya Sh trilioni 7.91 wanayodai wafanyakazi na…

Soma Zaidi »

Profesa Mbarawa mgeni rasmi Siku ya Wahandisi

MSAJILI wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Benard Kavishe amesema wahandisi 4,300 wanatarajia kushiriki Siku ya Wahandisi Tanzania 2022…

Soma Zaidi »

Mufti ataka Waislamu kuchangia mafanikio ya Uislamu

SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi amewataka Waislamu kujenga tabia ya kujitolea fedha na mali zao kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Bil 100/- kuanzisha ujenzi vyuo vya Veta 62

SERIKALI imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi katika wilaya 62, ambazo zilikuwa…

Soma Zaidi »

Shaka aponda wasiotaka Muungano

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema si ushujaa kwa chama cha siasa kuwa na shauku ya kuvunja Muungano au viongozi wake kupania…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji urasimishaji vijana wa ujuzi nje ya mfumo

SERIKALI imeweka mkakati kupitia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano wa kurasimisha ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi…

Soma Zaidi »

‘Panya road’ wamedhibitiwa-Majaliwa

SERIKALI imefanikiwa kudhibiti wimbi la uhalifu jijini Dar es Salaam, maarufu kama panya road na sasa hali ni shwari ikilinganishwa…

Soma Zaidi »

Bunge kuchagua wabunge A. Mashariki leo

BUNGE la Tanzania Alhamis  linatarajiwa kuchagua wabunge tisa wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi alisema…

Soma Zaidi »
Back to top button