Tanzania

TRA yawapa elimu ya kodi wafanyabiashara Kagera

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), mkoani Kagera imekutana na wafanyabiashara, ili kutoa elimu juu ya mabadiliko mbalimbali ya sheria za…

Soma Zaidi »

Serikali yaagiza tathmini mapori ya akiba

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imeagiza kufanyika upya tathmini ya maeneo mbalimbali yaliyopandishwa hadhi kuwa mapori ya akiba, yapatayo matano…

Soma Zaidi »

IHI kusaidia mapambano ya malaria Katavi

WANANCHI waliopimwa malaria kuanzia Januari 2022 hadi Juni 2022, asilimia 24 waligundulika kuwa na ugonjwa huo mkoani Katavi na kuufanya…

Soma Zaidi »

‘Wanafunzi wajifunze kwenye maabara mpya’

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeitaka  Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutoa fedha…

Soma Zaidi »

TRC,TANAPA kushirikiana kukuza utalii

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limesema itashirikiana na  Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), kukuza utalii wa ndani, baada ya…

Soma Zaidi »

Dk Yonazi akutana na mwakilishi wa Vesterbacka

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Jim Yonazi amekutana na mazungumzo na Mwanzilishi wa…

Soma Zaidi »

Padri aeleza chanzo biashara haramu ya binadamu

PADRI wa Kanisa Kuu la St. Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Gasper Basilidi amesema moja ya sababu zinazochangia…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji Makongo -Bagamoyo wafikia 87%

MRADI wa maji wa Makongo hadi Bagamoyo umefi kia asilimia 87 ili ukamilike ukiwa unagharimu Sh bilioni 65.4. Mkurugenzi wa…

Soma Zaidi »

Kikwete asifu kikosi kazi cha demokrasia

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha…

Soma Zaidi »

Majaliwa aagiza wanunuzi waliokopa tumbaku wawajibishwe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote waliochukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha wachukuliwe hatua za kisheria ikiwamo kufi…

Soma Zaidi »
Back to top button