Tanzania

Majaliwa ataka kasi ujenzi barabara ya mzunguko

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wakandarasi wa ujenzi wa mradi wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma…

Soma Zaidi »

Kusema ajali haina kinga ni kuendelea kujimaliza

AJALI haina kinga na alipangalo Mola hakuna mja anaweza kulipangua ni baadhi ya semi ambazo zimekuwa zikitumika sana baada ya…

Soma Zaidi »

Padri  Nkoronko asimikwa Askofu  Jimbo Katoliki Kahama

MAMIA ya waumini  wa Kanisa Katoliki  wamehudhuria kusimikwa  Padri Christopher Nkoronko kuwa Askofu  Jimbo Katoliki Kahama. Askofu huyo aliteuliwa na Baba Mtakatifu, Francisko kushika nafasi  hiyo …

Soma Zaidi »

‘Kujituma, ubunifu vitaondoa changamoto za kiuchumi’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema changamoto nyingi za kiuchumi katika jamii…

Soma Zaidi »

Wakulima Kongwa wakabidhiwa trekta 15

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remidius Emmanuel amekabidhi trekta 15 kwa wakulima wilayani humo katika hafla fupi iliyoandaliwa…

Soma Zaidi »

Waagizwa kuzingatia usalama mahali pa kazi

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remidius Emmanuel amewataka wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya GS Contractors kuzingatia tahadhari…

Soma Zaidi »

Kinana: Muwe wakali kuisimamia serikali

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amewataka wabunge na madiwani wa chama hicho wawe wakali katika…

Soma Zaidi »

Polisi yapongezwa kampeni kusalimisha silaha  

JESHI la Polisi leo linazindua kampeni ya mwezi ya kusalimisha silaha haramu hususani bunduki, bastola au bomu. Waziri wa Mambo…

Soma Zaidi »

Masauni amteua DCP mstaafu Mpinga

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amemteua Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne…

Soma Zaidi »

Twiga Stars yamkuna Shime

KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime amewapongeza wachezaji wake kwa ushindi dhidi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button