Tanzania

Chalamila aibua rushwa mpya vizuizi Kagera

UTITIRI wa vizuizi vya ukaguzi  (beria), imeelezwa ni chanzo kikuu cha rushwa mkoani Kagera, ambapo mtumishi mmoja ndani ya saa…

Soma Zaidi »

‘Wekeni mazingira mazuri ya biashara EAC’

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amesema  umefika wakati kwa mamlaka mbalimbali za serikali kuweka mazingira…

Soma Zaidi »

Kinana aipongeza China ujenzi VETA Kagera

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ameipongeza Serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo…

Soma Zaidi »

Ashauri mageuzi sekta ya mbegu

TANZANIA italeta mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo na kuchangia ujenzi wa viwanda endapo itaimarisha sekta ndogo ya mbegu. Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Unyanyasaji kijinsia waongeza wagonjwa wa akili

IMANI potofu pamoja na vitendo vya  unyanyasaji wa kijinsia katika maisha ya binadamu vimetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayochangia ongezeko…

Soma Zaidi »

Usinunue ardhi kabla ya uhakiki halmashauri-Mabula

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula amewataka wananchi wote wanaonunua ardhi kufanya uhakiki kabla ya…

Soma Zaidi »

Nelson Mandela kuongeza umahiri kidijiti

TAASISI ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Afrika (NM-AIST) imesaini mkataba wa ujuzi wa kidijiti na Taasisi ya Kimataifa…

Soma Zaidi »

Miundombinu yawekwa shamba la mbegu Msimba

WAKALA ya Mbegu za Kilimo (ASA) imeanza kutekeleza agizo la serikali la kuweka miundombinu ya umwagiliaji katika shamba la mbegu…

Soma Zaidi »

LHRC yampongeza Samia uboreshaji haki jinai

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa dhamira yake ya kuona mfumo wa…

Soma Zaidi »

Wanawake wajasiriamali watangaziwa neema

WAJASIRIAMALI wanawake wametakiwa kutumia kikamilifu kituo cha kimataifa cha biashara kilichozinduliwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi kitakachowezesha kutangaza biashara zao…

Soma Zaidi »
Back to top button