Tanzania

Wanafunzi Geita wapewa vitabu 52,683

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha kupigania haki na usawa wa watoto na wasichana, Plan International tawi la Geita, limejitolea vitabu…

Soma Zaidi »

Wapewa maelekezo matumizi Bandari ya Karema 

MAANDALIZI ya kuanza kutumika kwa Bandari ya Karema, iliyopo wilayani Tanganyika, Mkoa Katavi yamekamilika kwa asilimia 100. Kutokana na hali…

Soma Zaidi »

‘Kuna kemikali sumu zaidi ya 90 bidhaa za tumbaku’

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imebainisha kuwa bidhaa za tumbaku zina kemikali sumu mbalimbali, zikiwemo zinazosababisha magonjwa ya…

Soma Zaidi »

Tanesco Kagera watakiwa kutoa elimu vifaa bora vya umeme

MKUU wa Mkoa wa Kagera,  Albert Chalamila ametoa wito kwa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), mkoani Kagera kushirikiana na  taasisi…

Soma Zaidi »

Mwanafunzi amuua mwenzake kwa kichapo Geita

MWANAFUNZI wa darasa la pili katika shule ya msingi Uwanja iliyopo kata ya Nyankumbu mjini Geita, Jovina Simon (10) amefariki…

Soma Zaidi »

Mikhail Gorbachev: Kiongozi aliyemaliza vita baridi afariki akiwa na miaka 91

Mikhail Gorbachev, Kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Sovieti na ambaye anatajwa kumaliza Vita Baridi amefariki dunia akiwa na umri…

Soma Zaidi »

Bashungwa amsimamisha kazi DED Muheza

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Bashungwa aingilia kati malalamiko stendi ya Magufuli

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Makalla: zaidi ya asilimia 94 ya wakazi DAR wamehesabiwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema Mkoa huo umefanya vizuri kwenye zoezi la Sensa ya watu…

Soma Zaidi »

Wanahabari watakiwa wasichonganishe serikali na wananchi

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kutumia mafunzo ya umahiri wa uandishi wa habari wanayoyapata kuleta mchango wa maendeleo na ustawi…

Soma Zaidi »
Back to top button