Tanzania

Wataka gongo idhibitiwe inachochea ubakaji

WANAWAKE katika Kata ya Mamire wilayani Babati mkoani Manyara wamesema vitendo vya ubakaji kwenye maeneo yao vimekuwa vikisababishwa na matumizi…

Soma Zaidi »

SMZ kuhakikisha huduma za maji safi zinapatikana

WIZARA ya Maji, Nishati na Madini imesema itahakikisha miradi inayotumia fedha za Covid-19 inakamilika kwa wakati ili kutoa huduma ya…

Soma Zaidi »

Utetezi kesi ya Ole Sabaya waitaka Mahakama Kuu

UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi namba mbili, 2022 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole…

Soma Zaidi »

Zanzibar na mkakati kurejesha hadhi ya karafuu duniani

ZANZIBAR kuitwa kisiwa cha marashi ya karafuu ni kutokana na uzalishaji wa wingi wa zao hilo. Hivi sasa Serikali ya…

Soma Zaidi »

Dume moja majike matatu kwa mazao tarajiwa ya Samaki

DUME moja la samaki linapaswa kuhudumia/kuzalisha majike matatu tu katika bwawa ili mfugaji apate mazao tarajiwa, kwa maana ya ubora.…

Soma Zaidi »

Sensa muhimu katika katika kukuza uchumi

HATUA ya serikali kuimarisha afya ya mama na mtoto na kupunguza idadi ya vifo vya uzazi, kuongeza ujenzi wa zahanati,…

Soma Zaidi »

CCM yataka bodaboda, bajaji zitumie gesi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

Sensa kukamilika kwa ufanisi

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila alisema mkoa huo hadi juzi kazi ya kuhesabu watu, sensa ilifikia asilimia 97.4 na…

Soma Zaidi »

ATM ya kwanza ya kubadili fedha yazinduliwa uwanja wa KIA

BENKI ya NMB Jumatatu imezindua mashine ya kutolea fedha (ATM) ya kwanza katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Kilimanjaro (KIA)…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aziita kampuni za bima kwenye miradi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali yake inayakaribisha mashirika ya bima yaende Zanzibar kuwekeza kwenye miradi. Dk Mwinyi…

Soma Zaidi »
Back to top button