Tanzania

Rais Samia ashusha mzigo kwa majaji

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma, amesema uteuzi wa majaji 22 wa Mahakama Kuu uliofanywa na Rais Samia…

Soma Zaidi »

Watoto waliozaliwa kabla ya wakati wasaidiwa

OFISA Tarafa Kata ya Elerai, Titho Cholobi kwakushirikiana na wadau mbalimbali wametoa msaada  pampasi, maziwa ya kopo, taulo za majimaji…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa maelekezo magereza

RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka kuhakikisha haki katika usimamizi wa…

Soma Zaidi »

Jaji Mku: Mchakato kuwapata majaji ni huru

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema mchakato wa kuwapata majaji nchini ni huru na wazi kwa kuwa…

Soma Zaidi »

‘Kukosekana takwimu sahihi kunaathiri wenye ulemavu’

MWENYEKITI wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu  mkoani Shinyanga (Shivyawata),  Richard Mpongo, amesema wamekuwa wakishindwa kusaidiwa kikamilifu kwa sababu ya…

Soma Zaidi »

Kagera wafikia sensa asilimia 97

WAKATI leo ndiyo tarehe ya mwisho ya Sensa ya Watu na Makazi nchini, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila,…

Soma Zaidi »

Mfumo wa anuani za makazi Mfumo wa anuani za makazi ufanikishaji wa sensa 2022

HATUA iliyofanywa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miaka 10 iliyopita ndio imetumika kufanikisha sensa ya watu na makazi mwaka…

Soma Zaidi »

Jafo aagiza udhibiti mipakani mifuko ya plastiki

IKIWA leo inaanza opereshani ya nchi nzima ya kutokomeza matumizi ya mifuko ya plasiki, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa kuiba vifaa vya ujenzi vya serikali

WATUMISHI wanane wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita wanashikiliwa kwa tuhuma za kuiba vifaa vya ujenzi . Vifaa…

Soma Zaidi »

951 Mbeya washindwa kufanya mtihani wa majaribio

WANAFUNZI 951 wa kidato cha nne katika Mkoa wa Mbeya, hawakufanya Mtihani wa kujipia (Mock) uliofanyika Julai Mwaka huu kutokana…

Soma Zaidi »
Back to top button