Tanzania

NHIF wakanusha kumkataa Mkurugenzi Mkuu

WAFANYAKAZi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wamepinga taarifa kuwa hawamtaki Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo, Bernard…

Soma Zaidi »

Asasi yaomba serikali kuwakumbuka wahudumu wa afya ya jamii

WADAU wa asasi zisizokuwa  za kiserikali zinazohusika na masuala ya afya wamesema wanatamani kuona wahudumu wa afya ya jamii wanapata…

Soma Zaidi »

Wahadhiri vyuo vikuu watakiwa kuongeza machapisho ya utafiti

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amewataka wahadhiri wa vyuo vikuu kuongeza machapisho ya tafiti katika majarida…

Soma Zaidi »

Saruji Mbeya yapewa siku 30 kurekebisha mazingira ya kazi

SERIKALI imetoa siku 30 kwa uongozi wa kiwanda cha saruji cha Mbeya kiboreshe mazingira ya kazi kwa wafanyakazi. Naibu Waziri…

Soma Zaidi »

Serikali kutumia tril 1.1/- miradi ya maji Dar, Pwani

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imewekeza Sh trilioni 1.1 kutekeleza miradi 13 ya majisafi na…

Soma Zaidi »

Mwandishi Kizigha kuzikwa Ijumaa

MWANDISHI mkongwe mstaafu wa Magazeti ya Serikali ya Daily News na Sunday News, Charles Kizigha (72) anatarajiwa kuzikwa Ijumaa wiki…

Soma Zaidi »

Vita dhidi ya mifuko ya plastiki kuanza tena leo

MSAKO wa kukamata mifuko ya plastiki katika masoko jiji la Dar es Salaam unaanza leo. Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa…

Soma Zaidi »

Makarani sensa hatarini kufungwa miezi sita

SERIKALI imeonya makarani wa sensa ya watu na makazi waache kupiga picha na wananchi wanapoifanya kazi hiyo. Mtakwimu Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Japan kutoa tril 70/- za miradi, mazingira Afrika

SERIKALI ya Japan imeahidi kutoa dola za Marekani bilioni 30 (sawa na Ths 69.9 za Tanzania ) kuziwezesha nchi za…

Soma Zaidi »

Kiwanda cha bil 725/- kutoa ajira 7,655

MWEKEZAJI Jack Feng kutoka China anatarajia kuwekeza dola za Marekani zaidi ya milioni 311 (takribaniSh  bil 725) katika mradi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button