Utalii

Filamu ya The Royal Tour yazidi kuchanja mbuga

WAWAKILISHI wa taasisi mbalimbali za ubunifu wa teknolojia katika Jimbo la Washington nchini Marekani wamefurahishwa na uzuri wa Tanzania mara…

Soma Zaidi »

Wadau utalii watakiwa kutoa huduma za viwango

WADAU wanaohusika na utalii nchini wametakiwa kutoa huduma za viwango ili kuwafanya watalii kuwa mabalozi baada ya kuja Tanzania na…

Soma Zaidi »

Waongoza utalii wazembe kuchukuliwa hatua

KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi amesema serikali itamchukulia hatua mwongoza utalii atakayegundulika kusababisha watalii kuondoka…

Soma Zaidi »

Royal Tour yazidi kutakata, Waisrael waipigia chapuo Tanzania

MKURUGENZI Mtendaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA), Christine Mwakatobe amesema jumla ya watalii 527 wamerejea Israel…

Soma Zaidi »

Dk Abbas atamani mafanikio TAWA

KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi amesema anatamani kuona Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA),…

Soma Zaidi »

Serikali yaingiza Sh milion 68 utalii Arusha

SERIKALI imengiza Sh milioni 68 kuanzia Julai, 2022 hadi Februari, 2023 badaa ya watalii zaidi ya 12,000 kutembelea Hifadhi ya Msitu…

Soma Zaidi »

Wanahabari kimataifa kutembelea hifadhi Tanzania

FILAMU ya royal tour imeanza kuonesha mfanikio nchini, ambapo waandishi wa habari wa kimataifa 24 kutoka nje ya nchi watatembelea…

Soma Zaidi »

Barabara Hifadhi  ya Ruaha yawaibua tena wadau

WADAU wa utalii wameendelea kuiomba serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya lami kuelekea hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ubovu…

Soma Zaidi »

Bil 2.34/- za China kuendeleza utalii Hifadhi ya Kilimanjaro

SERIKALI ya China na Tanzania zimetiliana saini mkataba wa Dola za Kimarekani milioni moja sawa na Sh bilioni 2.34 kusaidia…

Soma Zaidi »

Wizara yawasilisha taarifa yake kamati ya bunge

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha na kujadili taarifa ya utekelezaji majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu…

Soma Zaidi »
Back to top button