Year: 2022

Tanzania

DC Ubungo: Serikali inaendelea kutatua kero kwa walimu

MKUU wa Wilaya ya Ubungo Heri James amesema serikali inaendelea kuthamini mchango wa walimu na kuwajali, hali inayodhihirishwa na uwekezaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa ataka changamoto ajira mpya za walimu zianikwe

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemwagiza Naibu Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanasheria watakiwa kutosheka na vipato vyao

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Feleshi amewataka wanasheria wa Serikali kuwa waadilifu katika kazi zao ili wawe na nguvu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Janza akunwa na ubora wa Stars

KOCHA wa timu ya taifa ya soka ‘Taifa Stars’, Honour Janza amesema timu yake imeonesha ubora wa kushindana kiasi cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Soka la Ufukweni wang’ara, watolewa

TIMU ya Taifa ya Soka la Ufukweni imemaliza mchezo wa hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Hujuma yakosesha umeme wilaya tatu Kigoma

WATU wasiojulikana wamehujumu miundombinu ya Gridi ya Taifa ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutoka kituo cha Nyakanazi…

Soma Zaidi »
Tanzania

­­­Tehama yaongeza kasi, yaokoa fedha Mahakama

UTEKELEZAJI wa miradi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), umesaidia Mahakama ya Tanzania kuongeza kasi ya utoaji haki na…

Soma Zaidi »
Siasa

Wabunge wa zamani waibukia uenyekiti CCM wilaya

BAADHI ya wabunge waliokuwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nyakati tofauti ni miongoni mwa wanachama wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Maelfu ya vyeti vya kughushi maombi Bodi ya Mikopo

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini vyeti 6,981 vya kuzaliwa na vifo vina upungufu ikiwamo kughushi kati ya…

Soma Zaidi »
Africa

Museveni: Wabunge EU wana mawazo finyu

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema Mradi wa Ujenzi wa Bomba Ghafi la Mafuta Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini…

Soma Zaidi »
Back to top button