Year: 2022

Jamii

Waonywa kugawa mashamba pori yaliyofutwa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwasa, amewaonya wataalamu wa ardhi wa mkoa huo kuacha mpango wa kugawa kwa wawekezaji wengine…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi yawashikilia 15 mauaji ya wafugaji Tunduru

JESHI la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini, linawashikilia watuhumiwa 15, wanaodaiwa kuhusika katika tukio…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mussa Mwenyekiti mpya UVCCM Nyamagana 

MUSSA Abdallah ameibuka kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Wilaya ya Nyamagana. Msimamizi mkuu wa uchaguzi…

Soma Zaidi »
Kanda

Wapewa msaada ujenzi wa shule Inyagantambo

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege nchini, imekabidhi mifuko ya saruji yenye thamani ya Sh milioni 5 kwa uongozi Kijiji cha…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mbatia avuliwa uanachama NCCR Mageuzi

MKUTANO Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, umemvua uongozi na kumtimua uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia,…

Soma Zaidi »
Kanda

 ‘Mafunzo yaboreshe kilimo cha korosho’

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu amewataka wakulima wa korosho wilayani humo, kutumia maarifa na ujuzi katika suala la…

Soma Zaidi »
Jamii

Wiki ya Viziwi kufanyika Mtwara Okt. 26 

MKOA wa Mtwara unatarajia kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya Wiki Viziwi Kitaifa, ambayo yatafanyika Oktoba 26, mwaka huuu. Maadhimisho hayo…

Soma Zaidi »
Kanda

NGOs Kigoma zatumia bil  20.4/- utekelezaji miradi

MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) mkoani Kigoma yametumia Sh bilioni 20.4 katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi katika kipindi…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

DIT yaanza utoaji mafunzo kwa mtandao

TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kutekeleza mradi wa kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao wenye thamani ya…

Soma Zaidi »
Siasa

Shilingi bilioni 752 kutekeleza miradi ya elimu

SERIKALI imetenga shilingi bilioni 752 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button